L liambokolia New Member Joined Jul 25, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Jul 27, 2019 #1 Kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe ni lazima awe amebobea vizuri kwenye imani fulani(upande wa waganga na wachawi au upande wa Mungu(?
Kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe ni lazima awe amebobea vizuri kwenye imani fulani(upande wa waganga na wachawi au upande wa Mungu(?
BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 5,196 Reaction score 14,371 Jul 27, 2019 #2 Ndio.. Kwan wewe unafikiri vipi?
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,722 Jul 27, 2019 #3 Ni lazima abobee katika ulimwengu wa roho , mali ya dunia ni ya shetani, kumbuka Yesu alipopandishwa mlimani na shetani.
Ni lazima abobee katika ulimwengu wa roho , mali ya dunia ni ya shetani, kumbuka Yesu alipopandishwa mlimani na shetani.