Naomba ushauri nataka kuanzisha biashara ya kuuza vipuri vya magari

benja

JF-Expert Member
May 10, 2011
278
250
Wadau nina mtaji wa Tsh 3,000,000 na ninataka nianzishe duka la kuuza vipuri vya magari. Ninapenda biashara hii kwa sababu mimi ni mdau wa magari sana.

Naombeni ushauri nianze na bidhaa zipi.

NB; Eneo ambalo nitaanzisha tayari kuna garage 2 za kutengeneza magari

Asanteni
 

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,545
2,000
Wadau nna mtaji wa Tsh 3,000,000 na ninataka nianzishe duka la kuuza Spare Parts. Ninapenda biashara hii kwa sababu mimi ni mdau wa magari sana. Naombeni ushauri nianze na bidhaa zipi.

NB; Eneo ambalo nitaanzisha tayari kuna garage 2 za kutengeneza magari

Asanteni
Aisee chaliii yangu kwa iyo hela jikite tu kwenye kilimo cha mbogamboga. Iyo biashara ya spare parts ni ya laana utakuwa unauza spare za wizi utakazoletea na siyo vizuri
 

sophia brown

Member
Feb 15, 2019
20
95
wadau nauza spare parts za magari makubwa kama vile scania,faw,shacman na mengine mengi nauza kwa rejareja na jumla piah gharama zetu ni nafuu kabisa waweza nicheck kupitia whatsapp yangu +8613156409154
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom