Namna ya kumiliki/kufungua kampuni ya " sport betting"

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,231
Naombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.

Nadhani ni fursa kwa sasa.

Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.

Ahsanteni.
 
Bora unaefungua company kuliko yule anaefungua akaunti..

Mi sijui taratibu zao, ila I wish you all the best.
 
Sio Ntafutahi, sema Nitafurahi.

Halafu betting na michezo yote ya kamari na bahati nasibu ni haramu kwa Allah.

Acha kabisa, at least ungefungua centre ya kuonesha mpira. Flat screen zako 3, huku El clasico, pale London durby na kule Dar es Salaam Durby (Azam vs Simba)

Mbona utapiga hela kinyama nyama.
Sio kila mtu ni muislamu..

Hata kutoamini unachoamini wewe nayo ni imani pia.
 
Hata kwa wakristo kamari ni dhambi. Waprotestant wote wanakubali hilo sina uhakika na katoliki maana wao sio wazee wanoko kwao ruksa kidogo huwa ipo
Imani sio ukristo na uislamu tu..
Ingawa hizo ni imani.
 
Sio Ntafutahi, sema Nitafurahi.

Halafu betting na michezo yote ya kamari na bahati nasibu ni haramu kwa Allah.

Utaambulia kuchomwa moto siku ya Qiyama bureee!!

Acha kabisa, at least ungefungua centre ya kuonesha mpira. Flat screen zako 3, huku El clasico, pale London durby na kule Dar Durby (Azam vs Simba).
Kiingilio buku buku.

Mbona utapiga hela kinyama nyama.
Derby
 
Sasa Kama Kufanya betting ni haramu .. Then Kuangalia itakua ni Haramu pia ...
Coz tayari Source yake ina unajisi.

Chungeni sana Uelewa na tafsiri za dini zenu. , unaweza jikuta hata ulimi wako ni haramu.
 
Watu mnaulizwa Jinsi Ya Kufungua Kampuni,mnaleta habari za dini . Kuna mtu kaandika Ukristo/Uislamu/Ubudha hapa.

Au mmelemewa na imani . ? .

Kafungueni thread zenu mueneze dini .
Usitulazimishe Imani yako hapa
 
Ila itabidi ujifunze uchawi wa kuwapiga upofu watakaobet bila hvyo utafunga biashara week ya kwanza tu
 
Back
Top Bottom