Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Amani iwe kwenu, Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo nimevuna takribani gunia kama 20 ivi. Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
4 Reactions
79 Replies
6K Views
Habari wakuu. Nahitaji mkopo wenye riba kutoka mtu binafsi, nitaweka gari kama dhamana. Mkopo kwa muda wa miezi 2. Kwa mawasiliano zaidi tuzungumze
3 Reactions
6 Replies
412 Views
Ninacholipendea hili jukwaa watu wako serious, hakuna mizaha mingi, lakini pia tunapata mawazo mapya kila siku humu. Leo naomba tupeane michongo ya biashara zenye faida ya shilingi kwa shilingi...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Anonymous (9a98)
Mimi ni mdau katika sekta ya usafirishaji mizigo. Inapotokea unasafirisha baadhi ya mizigo kama Abnormal loads, Hazardous loads, unstable loads na Super loads ni lazima uwe na vibali maalumu...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako. Watu...
87 Reactions
135 Replies
25K Views
Wasalaam Wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mjasiriamali natamani kuwekeza kwenye mradi wa kupasua mawe na kutoa derivatives i.e. kokoto, chipping na mchanga ulio katika powder /...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka...
3 Reactions
1 Replies
908 Views
Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara...
11 Reactions
629 Replies
81K Views
Habari ndugu zangu. Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana. Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance...
4 Reactions
20 Replies
502 Views
kwa mnaoyaka kununua machine kama excavator brand ya sdlg pia na matela ya malori na tipa karibun wakuu bei maelewano
3 Reactions
3 Replies
297 Views
Tunatoa huduma ya kukata miti iliyo katika mazingira hatarishi na mashambani. Tunapatikana mbezi mwisho (DAR ES SALAAM) 0679900852/0758700852
2 Reactions
14 Replies
268 Views
Huu uzi ni matokeo ya utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 15,nilifatilia matukio mengi ya watu wanaodai kutajirika kwa nguvu za ngiza,nilisoma vitabu vingi,niliongea na ma guru wengi na mwisho...
120 Reactions
269 Replies
25K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu watanzania, nimewaza, hapa natamani TUPATIKANE WATU arobaini tuunganishe mitaji ya Mil 5 ili kuitimiza Mil 200 then tuwekeze kupitia Vodacom M-wekeza, huku tukitarajia kupata faida ya zaidi...
10 Reactions
88 Replies
2K Views
Ni kuhusu VAT upande wa Exportation. Scenario Iko hvi, Kuna kampuni tatu (KED, XYZ & ABC) 1. KEDA ni non-resident company ipo Uganda na inaexport coal from Tanzania . 2. XYZ ni resident company...
5 Reactions
9 Replies
289 Views
Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko? Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? Wataalam...
4 Reactions
21 Replies
522 Views
Habari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye umasikini, Hii...
9 Reactions
78 Replies
56K Views
Nimetoka kuona taarifa ya wafanyabiashara wa maduka ya Arusha wakitishia mgomo kama machinga hawataondolewa, nayajua maumivu yao kwasababu niliwahi kuyapitia ila kwa mkoa tofauti. Machinga huwa...
9 Reactions
9 Replies
349 Views
Sina uzoefu sana na forex lakini naomba niulize wataalamu wa Jf Kama Kwasasa nikiwa na USD 1 naweza nunua 1,065,000.00 IRR. Hivyo nikiwa na laki moja tu ya kitanzania hio ni sawa na kama 50M ya...
3 Reactions
2 Replies
276 Views
Habari, Tunazo 22 Inch LED Ring Light Full Set Zenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu kwa TSH 70,000 ✅Zina Mwanga mkali na soft light 💡 inayohifadhi macho! – zinafaa kwa...
1 Reactions
3 Replies
191 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…