Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Anonymous
Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa...
1 Reactions
0 Replies
168 Views
Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa...
7 Reactions
28 Replies
715 Views
Siri kubwa ya kutotolesha mayai kwa mafanikio siyo tu kuwa na incubator – ni kuhakikisha joto (temperature) na unyevu (humidity) viko kwenye viwango sahihi na vimebalance muda wote. Wakuu habari...
2 Reactions
3 Replies
646 Views
Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025, iGrowth Fund umeonekana kuwa miongoni mwa mifuko iliyofanya vizuri zaidi sokoni. Ukuaji wa Thamani ya Kipande (NAV) ✓ Tarehe ya kuanzishwa: 03 Desemba...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Tayari nimeweka nia ya kutojihusisha na mikopo ya aina yoyote ile mwaka 2026. Iwe benki, viccoba au wowote ule nitakaa nao mbali. Yaani nimejiahidi kama nilivyojiahidi kutofanya mapenzi hadi...
8 Reactions
21 Replies
942 Views
London, Uingereza — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewahakikishia wawekezaji wa Uingereza kuwa Tanzania ni nchi salama, yenye uthabiti wa kisiasa...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Vigezo vp vya lazima ili uwe na account NMB??
0 Reactions
28 Replies
37K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni binti miaka 25 muhitimu wa chuo ngazi ya diploma ila sijaajiriwa na nimemaliza chuo tokea mwaka juzi. Nakuja mbele zenu nikiomba ushauri juu ya wazo la...
6 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari mjasiriamali, Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa. Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo...
1 Reactions
0 Replies
268 Views
Je ungependa kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara 10 Zaidi Ndani Ya Siku 30 Kama jibu lako Ni Ndio Basi Naomba Uniazime Dakika zako Tano Tu Niweze Kukuonesha jinsi Ya Kufanya Hivyo Twende...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Nahitaji hii mashine kwa ajili ya kukuna maganda ya nje ya nazi ili nipate nyuzinyuzi kama ilivyo kwenye picha. Ukitaka full video ipo na inavyofanya kazi. Nahitaji mtu anayeweza kuiunda na...
2 Reactions
14 Replies
637 Views
Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani...
3 Reactions
5 Replies
250 Views
Je Ungependa kupandisha mauzo Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30 Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe Jinsi Ya Kufanya Hivyo Twende pamoja Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Jambo Jambo? Naomba kujua haya ya kununua bonds,hisa kwenye stock exchange na mambo ya UTT-AMIS kiufupi napenda kuwekeza hela kwenye mambo kama hayo, ambayo kwa shughuli zangu za utafutaji...
14 Reactions
59 Replies
12K Views
Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni. Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali...
126 Reactions
443 Replies
39K Views
Habarini za muda wakuu. mimi ni mfanyabiasha wa mbuzi na ng'ombe kwa mwenye mmiliki wa bar,hotel na bucha. Kwa anayehitaji niwe namletea kwa ODA. naomba ushirikiano wenu. kwa masiliano zaidi...
6 Reactions
16 Replies
575 Views
Rafki Kwa Wewe Ambaye unataka Kuanzisha Biashara Yako Ndani ya Mwaka 2026 ili Uanze Kutengeneza Pesa ya Uwakika Kuna Kitu Cha Msingi sana ambacho Unatakiwa Kukifahamu Na, Kitu Hicho Ni Soko La...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wengi hudhani Dollar ndio safaru yenye thamani zaidi duniani ila ukweli ni kwamba Dollar ipo nafasi ya kumi kwenye sarafu zenye thamani zaidi duniani huku nafasi za mwanzo zikishikwa na...
0 Reactions
2 Replies
528 Views
Habari wanajJF, hivi bajaji ya mkononi ukampa mtu mkataba labda unaweza ukafanikiwa. Walioanza kufanya biashara hiyo anipe ujuzi bajaji kama ya milioni 5 hivi Ushauri wenu wanaJF
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…