Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu, Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya...
12 Reactions
102 Replies
7K Views
Salaam wakuu. Mimi ni kijana umri wangu 28 nipo Mtwara nahitaji mabosi wa kuwanunulia korosho ambazo kwa huku tunaita za kuoka ambazo kwa huku zinanunuliwa kwa Kg 1 Tsh 14000- 16000 malipo juu ya...
2 Reactions
1 Replies
232 Views
🎯Tengeneza bajeti ya kila mwezi - Fuatilia mapato na matumizi ili uweze kujua kila mara fedha zako zinapoenda. Na kipaumbele mahitaji kuliko matamanio - Shughulikia mambo ya lazima kwanza kama...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeuza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 168 kwenye soko la fedha la mabenki – Interbank Foreign Exchange...
3 Reactions
15 Replies
522 Views
So unakuta Wana lala sana humo ndani je ni bishara au fashion?
1 Reactions
12 Replies
283 Views
Wateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?
5 Reactions
29 Replies
696 Views
Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc. Lakini pia ni...
2 Reactions
0 Replies
524 Views
Naombeni mwenye kujua jamani Kazi ya UWAKALA wa M-pesa, Tigo Pesa, Airtel money inaingizaje pesa?
2 Reactions
72 Replies
70K Views
Mwenye gari za transit kuenda Maamba✅ Lusaka ✅ Naomba tuonge 0620411256
2 Reactions
6 Replies
234 Views
Sekta ya Bank inazidi kukua. Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko...
2 Reactions
1 Replies
677 Views
Kwa muda mrefu nimekua nikitamani kua na hisa kwene makampuni tofauti tofauti kama voda,crdb na nmb sasa nimeona hii DSE,,,, maswali je kununua na kuuza kupitia DSE ni sawa tu na ningeenda manual...
0 Reactions
13 Replies
649 Views
Kutokana na usanii mwingi uliojaa na cost za kujenga zilivyokubwa nchi hii, nauliza what are the chances za biashara au kujenga mwenyewe ya pre-fab houses ? Say unajenga nyumba nzima nje ya nchi...
6 Reactions
24 Replies
11K Views
Eneo ni mkoani, mara Changamoto, wosia, ushauri, mazuri, mabaya, maeneo ya kuchukulia jumla dar n. K Karibuni ndugu zangu
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi Nifanye nini kuepuka 1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi...
8 Reactions
72 Replies
5K Views
Anonymous
Hili suala la sarafu kuadimika limekaaje? Niliona kwenye forum Moja ya Mwananchi wakiuliza kwa Afisa Sarafu B.O.T kuhusu kuadimika kwa sarafu hasa Tsh 100, Tsh 200 lakini alijibu kua hakuna shida...
3 Reactions
9 Replies
413 Views
nimekua nikifanya biashara ya kufungasha unga wa ugali kwa mwaka sasa naona inalipa so nahitaji kuwekeza zaidi, nimenunua eneo nimejenga sehemu ya kuokea mikate, sehemu ya kusaga na kufungasha...
4 Reactions
21 Replies
11K Views
Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji. Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani. Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa...
7 Reactions
112 Replies
23K Views
Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo 1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
swali gumu linalohitaji majibu rahisi,
5 Reactions
13 Replies
336 Views
Hawa wakina kimnyamkela humu ndani wanawadanganya na vidawa na matarajio bandia huku akiwa amenyoosha miguu kwenye kochi la shemeji yake. Pesa ni uhalisia, ingekuwa kuna miujiza ya kuvusha watu...
4 Reactions
22 Replies
691 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…