Tulizoea miaka mingi kwamba barabarani kutawaliwa na SCANIA, lakini cha kushangaza zaidi Mchina kaja kufanya mapinduzi ya haraka sana kwenye mabasi ya mikoani.
Jana nilitoka zangu morogoro nikawa...
Copy and paste
Sunday news ππ½ ya kuanzia siku π
Serikali ya mahodari inaendelea kupaiza uchumi! Sasa kuna soko la magendo (haikuanza leo ilianza 2018 walipopora fedha na kufunga maduka ya fedha)...
Chato miaka kumi inayo kutakuwa hot cake, referral hospital inamaana wakazi wa Geita wenye wagonjwa Chato watatafuta sehemu za kulala.
Stadium Kukawa na match lazima guest house na hoteli zijae...
Habarini wakuu. Natumaini mko poa sana, narudi kwenye hoja yangu. Hivi kwanini haya makampuni yanayo dili na kurekebisha mashine zile za EFD wenyewe sio watoa risiti?
Nashangaa maana...
Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa...
Wana JF naomba msaada wenu.
Ninafanya utafiti wa biashara ya kutengeneza siagi ya karanga. Nimerithi mashine ya kutengeneza peanut butter ila sina ujuzi wa soko hasa la Dar es Salaam. Mimi naishi...
Habar za muda waungwanaaa naomna niende moja kwa moja kwenye mada naomba kujua jins gan naweza kutambua madin feki na kama una changamoto zinazojitokeza kwenye biashara ya madini share nami nataka...
Wakuu kama ilivyo mada hapo naomba kueleweshwa zaidi juu ya maisha ya nchi ya Seychelles na fursa zinazopatikana huko kibiashara.
Naamini humu ni kisima cha elimu.
Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa...
Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
Sijui kama wewe ulishafika hii stage, lakini kuna muda kwenye maisha unaona kabisa kila mtu anakukataa. Wale washkaji zako wa dam dam wanakufungia vioo, ndugu zako wanakupotezea, majirani...
Biashara ninayoizungumzia hapa ni biashara ya grosari ambayo itajumuisha banda la chipsi , nyama choma , supu , chapati.
Ipo hivi, kwanza inabidi zipatikane fremu angalau mbili avunje kati...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo
Kijana wenu nimekuja hapa kuomba msaada wa kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuwa wakala wa soda za pepsi au cocacola pamoja na bia
Kwa yeyote ambaye yuko kwenye...
Naomba mwenye uelewa mzuri wa hii biashara atupatie somo vizuri
1.Mtaji
2.Maeneo ya kupata hivi viumbe
3.Vibari
4. soko
5.namna ya usafirishaji na gharama zake
6.Namna ya kupata connection za...
Habari za jioni wadau, najua wengi wetu tunaendelea na majukumu kama kawaida.
Oky hemu niingie kwenye point.
Bidhaa za hawa wanajiita Alliance In Motion Global
Mfano moja inautwa: mychoco...
ukimiliki moja wapo kati ya blog zilizoelezewa kwenye makala hii ni rahisi kuingiza kipato kila mwezi
Blog ni nini?
Blogu ni aina ya tovuti ambayo inatoa taarifa za kila siku za tasnia Fulani...