dealkubwa
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 144
- 588
Habar za muda waungwanaaa naomna niende moja kwa moja kwenye mada naomba kujua jins gan naweza kutambua madin feki na kama una changamoto zinazojitokeza kwenye biashara ya madini share nami nataka niingie kwenye biashara hii nina kamtaj kangu ka milion 30 nataka kujifunza nisije kupigwa bureee
Asante
Asante