Naomba kufahamishwa fursa zilizoko nchini Seychelles

Allen key

Member
Jan 2, 2019
56
34
Wakuu kama ilivyo mada hapo naomba kueleweshwa zaidi juu ya maisha ya nchi ya Seychelles na fursa zinazopatikana huko kibiashara.

Naamini humu ni kisima cha elimu.
 
Mazao maan kikubwa wao wanategemea uvuvi tuu so kulim hakuna, n nchi nzur sanaaa hawan ubaguz coz wao wenyew wanaasili y africa
 
Sehemu nyingi hapa Dunia ukipata marafiki wa sehemu husika ina kuwa rahisi kupata taarifa za huko kwao...

Hapa tz tatzo wabinafsi tupo wengi sana hatutaki wapa taarifa na wengine, hiki ndio kikwazo kikubwa
 
Back
Top Bottom