Maswali kuhusu bidhaa za Alliance In Motion Global

muro121

Member
Nov 24, 2016
62
50
Habari za jioni wadau, najua wengi wetu tunaendelea na majukumu kama kawaida.
Oky hemu niingie kwenye point.

Bidhaa za hawa wanajiita Alliance In Motion Global
Mfano moja inautwa: mychoco matumizi yake wanasema unachanganya na maji moto.
Swali je, bidhaa hizi za chakula zimethibitishwa na TBS.

au nitakuwa nipo nyuma sana.
 
Hao ni Wasanii tuu kama
Forever living, Qnet, na wenzao

Jichanganye uliwe kichwa
 
Kuna jamaa huwa anaziuza Sana hizo bidhaa
Cha kushangaa ana bima ya afya na akiugua anaenda hospital.

Anyway happy Ni matapeli Kama matapeli wengine na ile pesa unayoitoa Kama kianzio ndio inayotumika kukuza mitaji ya wale wanaowaita wakuu wao au waanzilishi.
 
Habari za jioni wadau, najua wengi wetu tunaendelea na majukumu kama kawaida.
Oky hemu niingie kwenye point.

Bidhaa za hawa wanajiita Alliance In Motion Global
Mfano moja inautwa: mychoco matumizi yake wanasema unachanganya na maji moto.
Swali je, bidhaa hizi za chakula zimethibitishwa na TBS.

au nitakuwa nipo nyuma sana.

Hizo ni supplements. Hazijathibitishwa kisayansi na hazipaswi kutumiwa kama tiba ya ugonjwa wo wote. Sana sana ni virutubisho tu kama vile unavyokula mchicha ili uimarishe afya ya macho au kula machungwa kuongeza vitamin C uimarishe kinga ya mwili wako. Sehemu nyingi duniani mf. huko marekani supplements zote hizi zinapaswa kuwa na disclaimer inayosema kuwa hazijathibitishwa na mamlaka husika (FDA) na hazitibu ugonjwa wo wote. Zingine hazina active ingredients za kutosha na zingine ni bogus/placebo tu.

Ijulikane pia kuwa tafiti nyingi za kisayansi kuhusu supplements hizi ni mkanganyiko tupu. Utafiti mmoja utatoka unadai kuwa supplement fulani inasaidia, halafu mwingine unatoka unasema kuwa haisaidii cho chote. Ukichunguza vizuri unakuta kuwa baadhi ya watengenezaji wa supplements hizi huajiri watafiti/wanasayansi wao na kuchapisha tafiti zinazounga mkono products zao. Sayansi ya siku hizi nayo imegeuzwa biashara !!!

Zipo baadhi ya supplements zilizothibitishwa kuwa zina faida kisayansi kama virutubisho na kamwe siyo kama tiba. Zitumie kwa tahadhari na kamwe usizitumie kama tiba. Kama unaumwa nenda hospitalini
 
Habari za jioni wadau, najua wengi wetu tunaendelea na majukumu kama kawaida.
Oky hemu niingie kwenye point.

Bidhaa za hawa wanajiita Alliance In Motion Global
Mfano moja inautwa: mychoco matumizi yake wanasema unachanganya na maji moto.
Swali je, bidhaa hizi za chakula zimethibitishwa na TBS.

au nitakuwa nipo nyuma sana.
Mkuu vp ulinunua iyo bidhaa na maendeleo yako yapoje maana huu uzi ni wa June na leo ni Dec hope fully kuna ulichovuna kidogo tangu umejiunga na hao vijana
 
Back
Top Bottom