Mchina anazidi kushika kasi ya barabarani

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,523
Reaction score
5,159
Tulizoea miaka mingi kwamba barabarani kutawaliwa na SCANIA, lakini cha kushangaza zaidi Mchina kaja kufanya mapinduzi ya haraka sana kwenye mabasi ya mikoani.

Jana nilitoka zangu morogoro nikawa narudi zangu jijini daslam, lakini cha ajabu kwamba kila ukipiga jicho barabarani unakutana na basi la kichina tofauti na zamani
 
Karibu Dar, siku nyingine ufiche ushamba wako, kesho tuchekie kati ya wanaovaa dera na wanaovaa suruali wepi wana mizigo ya kuvunja chaga
 
Tatizo bei ya scania hizo mayai ndo maana watu wapo bize na Zongtong,Youtong,Sunlong,kinglong,Higer,Asian Star na ndugu zao .Hapo sauli ndo kidogo anazurulazurula na scania zake za mbeya bt nazo syo mayai
 
Tulizoea miaka mingi kwamba barabarani kutawaliwa na SCANIA, lakini cha kushangaza zaidi Mchina kaja kufanya mapinduzi ya haraka sana kwenye mabasi ya mikoani.

Jana nilitoka zangu morogoro nikawa narudi zangu jijini daslam, lakini cha ajabu kwamba kila ukipiga jicho barabarani unakutana na basi la kichina tofauti na zamani
Gari zake nyingi zina lifespan ya 5 year kabla halijaanza kukuletea visa
Gari zake zimefanukiwa sana kuwa economy kwenye suala la mafuta hivyo yanaleta faida nzuri sana chap chap
kwa ujumla ni nzuri kwa shape na ni comfortable
 
Back
Top Bottom