Wakuu habarini.
Kama kuna mtu anafahamiana na mtu ninayeweza kumwagiza perfume toka Zenji aniunganishe nae, naskia huko bei za uturi ziko chini.
Wasalaam...
Kuanza biashara ni jambo moja lakini kuiendesha isimame na kudumu ni jambo lingine tena linalohitaji kutuliza akili na kuwa na nidhamu sana katika biashara.
Zipo biashara ambazo huanzishwa na...
Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi...
Wadau nilipeleka gari kwenye gereji moja ..kurudi inapiga kwlele kama gari ya mashindano. Kumbe tayari wameshatoa ule unga kwenye vibuyu..
Nimetafuta maduka mengi spare haipatikani.
Mwenye kujua...
Wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo
Mafuta ya alizeti lita 3 kutoka 8000 mpaka 15000
Lita 5 kutoka 12000
Mpaka 25000
Lita 20 kutoka 52000
Mpaka 77000
Tunasema mitano tena
Wadau naombeni ufafanuzi;
Nilichukua mkopo NMB takribani miezi sita iliyopita makubaliano yalikua kukata kiasi cha marejesho kila mwisho wa mwezi lakini cha ajabu wanakata pesa mara mbili kwa...
Habarini ndugu na marafiki. Namatumaini wote ni wazima wa Afya. Poleni sana na majukumu na mapambano dhidi ya janga la Korona. Leo nilipokea simu toka kwa Rafiki yangu akilalamika biashara imekuwa...
Wakuu umofia kwenu.Kuna jamaa yangu anataka kunipatia mashine za kufyatulia tofari,sasa sijawai fikiria hata siku moja kuja kufanya hii biashara,najua humu kuna wazoefu wa hii biashara naombeni...
Mkuu wa mkoa wa Dsm ametoa kauli ya kuyaponda magari aina ya IST kuwa ni magari wanayohongwa watu mitaani na yeye hawezi kuyatumia wala kumnunulia mtu magari aina hiyo.
Ukiichukulia juu juu kauli...
Habari za jioni wakuu!
Mie kila nikitunza pesa ili nije ninunue kitu fulani ile pesa naishia kuitafuna kabla ya lengo husika, hata
Matatizo au shida huwa zinazidi mpka inanipelekea kuzitumia...
Wakuu habari zenu.
Lagrangian nimerudi tena kwenu nkiwa na shida tajwa hapo juu.
Niliwahi kuja na bandiko la kutafuta mzalishaji na msambazaji wa Sabuni za Magadi za Kigoma zile za mawingu...
Nina mpango wa kuleta hizi kitu bongo siku za usoni,nani mwenye uelewa kwanza wa kodi zake kwa moja moja,au kwa container la 20ft au la 40ft kwa piki piki za aina hii used, na je soko lake bongo...
Habari, wanajamii?
Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi.
Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au...
Wana uchumi salama?
Naomba msaada wa kupata eneo zuri nataka nifungue biashara ya vinywaji na chips. Naomba connection kwa mtu yoyote wa kunisaidia hata madalali nipate eneo zuri lenye watu wengi...
Habari za muda huu mwanajukwaa.
Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata.
Ikiwa ni lesen na vyeti je...
Magufuli hana mchezo, kwa wale wanaojua kizungu.
Chinese firms involved in money laundering racket face the music in Tanzania
New Delhi: Chinese involvement in money laundering has been growing...
Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza.
Sasa nilikuwa nataka...
Habari wadau wa biashara na wajasiriamali wenzangu. Mimi ni kijana mpambanaji mwenzenu katika harakati za kusaka chochote nimekutana na mdau ameniwezesha kupatikana mashine ya kutengeneza juisi ya...