Msaada biashara ya pafyum Zanzibar

Msaada biashara ya pafyum Zanzibar

24th DECEMBER

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
401
Reaction score
167
Wakuu habarini.

Kama kuna mtu anafahamiana na mtu ninayeweza kumwagiza perfume toka Zenji aniunganishe nae, naskia huko bei za uturi ziko chini.

Wasalaam...
 
Bei ni nzuri ila inategema na soko.
Cha msingi ningekushauri uje kwanza,hata kama ni siku moja,maana kutokea Bandarini hadi darajani kwenye maduka makubwa ya jumla ni umbali wa kutembea tu kwa miguu.

Sasa hapo unaweza kwenda kuona aina za perfumes na makorombwezo mengine,na pia kuweza kucheza na bei na mabadiliko ya soko.

Then kuanzia hapo unaweza kuwa na link ya kutuma pesa tu na ukapakiwa mzigo wako kwenye boat na wewe kuupokea.
Kuna watu nimeona wanafanya hivyo,ila nakushauri kwanza uje kisha ndio uwe unaagiza.Hata wale wenye maduka makubwa wanaweza kukusaidia kukupa njia ya namna ya kukuagizia mzigo wako Ila kidogo inakuwa usumbufu kwao kama ni mzigo wa pesa ndogo.

Na kama ukishindwa niambie nitakupa mtu atakaekuwa anakusaidia kazi hiyo,ila utamlipa pesa ya mafuta,maana ni Taxi driver yupo Pale Bandarini.Na atakutembeza kwenye maduka Buree,ila kama Shemeji yako pia atakuwa free naweza kumuambia akakutembeza,maana anauzoefu kidogo mambo hayo.
 
Ahsante sana mkuu Zanzibar Spices , january nitakua likizo nitafika Zenji, tutawasiliana, shukran sana kwa mwangaza
 
Bei ni nzuri ila inategema na soko.
Cha msingi ningekushauri uje kwanza,hata kama ni siku moja,maana kutokea Bandarini hadi darajani kwenye maduka makubwa ya jumla ni umbali wa kutembea tu kwa miguu.

Sasa hapo unaweza kwenda kuona aina za perfumes na makorombwezo mengine,na pia kuweza kucheza na bei na mabadiliko ya soko.

Then kuanzia hapo unaweza kuwa na link ya kutuma pesa tu na ukapakiwa mzigo wako kwenye boat na wewe kuupokea.
Kuna watu nimeona wanafanya hivyo,ila nakushauri kwanza uje kisha ndio uwe unaagiza.Hata wale wenye maduka makubwa wanaweza kukusaidia kukupa njia ya namna ya kukuagizia mzigo wako Ila kidogo inakuwa usumbufu kwao kama ni mzigo wa pesa ndogo.

Na kama ukishindwa niambie nitakupa mtu atakaekuwa anakusaidia kazi hiyo,ila utamlipa pesa ya mafuta,maana ni Taxi driver yupo Pale Bandarini.Na atakutembeza kwenye maduka Buree,ila kama Shemeji yako pia atakuwa free naweza kumuambia akakutembeza,maana anauzoefu kidogo mambo hayo.

You are such a gentleman!!!
Much blessings!!
 
Safi sana. Huitaji hata kuomba baraka, unapata tu.
 
Hi ushapata mtu au nikuunganishe na mtu. 1.trustworthy 2. Mzigo utafika kwa wakati bila usumbufu wowote wa TRA pale bandarini... nicheki PM
Wakuu habarini
Kama kuna mtu anafahamiana na mtu ninayeweza kumwagiza perfume toka Zenji aniunganishe nae, naskia huko bei za uturi ziko chini.
wasalaam...
 
Back
Top Bottom