Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Wana uchumi salama?
Naomba msaada wa kupata eneo zuri nataka nifungue biashara ya vinywaji na chips. Naomba connection kwa mtu yoyote wa kunisaidia hata madalali nipate eneo zuri lenye watu wengi . Nilitakaga kufungua biashara ya chips nikaghairi ila sasa nipo serious.