Iduku
Member
- Aug 24, 2020
- 39
- 113
Habari wadau wa biashara na wajasiriamali wenzangu. Mimi ni kijana mpambanaji mwenzenu katika harakati za kusaka chochote nimekutana na mdau ameniwezesha kupatikana mashine ya kutengeneza juisi ya miwa, Mwezeshaji alipendekeza eneo la kuuzia juisi hiyo lakini eneo hilo halijawa na mzunguko wa watu wengi hivyo biashara imekuwa haileti tumaini.
Kwa sasa natafuta mdau mwenye mgahawa,hoteli au sehemu yenye mzunguko mzuri wa watu tujumuike na niko tayari tukutane kwa mazungumzo na kujua tutalipana je km sehemu husika itakuwa na mzunguko mzuri wa biashara..ushauri,maoni na mapendekezo napokea.NB.Mashane hii ni ya umeme mpya na mtengenezaji wa juisi ana uzoefu mzuri na kazi hii.