Wakuu mambo vipi..
Nataka kuanza biashara ya kuuza nazi, nitazitoa mkoani Lindi na kuziuza DSM.
Naomba kujuzwa jinsi ya kupata soko kwa hapa DSM.
Thanks
Nipo zangu feri kwenye kivuko cha Magogoni narudi nyumbani saa 7 mchana huu.
Kichwa hakiko Sawa maana “mchongo” niliofata town umebuma hivyo nikajiwazia zangu heri nirudi mapema nikacheze na...
Habari za leo wadau baada ya mihangaiko ya muda mrefu ya namna ya kusafirishaji malighafi kutoka india kuja hapa nyumbani na kukwama ingawa nimeona bidhaa ninayoihitaji ikiwa inauzwa kwa wingi...
Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote.
Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja...
Habari wakuu.
Nimeona nilete hapa hili swala ili kupata mawazo tofauti tofauti juu ya business Ideas ambazo zinaweza kuwekezwa kiasi cha Tshs 10M.
Kuna jamaa yangu ana kiasi hicho cha fedha...
Kuna hii biashara imeibuka kwa kasi sana ambayo ofcoz ina hela sana lakini athari zake utajuta maisha yako yote!
(Nita attach na picha yake chini hapo)
Kifupi huo ni unga unga uitwao MAFLA...
Habari jioni sana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza mwenye ABC za biashara ya studio ya picha tujuzane mambo yote ya msingi ambayo mtu anatakiwa kuyajua kama anataka kufanya hii biashara...
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana nilie maliza elimu yangu kwa level ya bachelor mwaka 2017, toka kipindi hicho nimejaribu kufanya vitu tofautofauti ikiwemo vyakujiajiri binafsi na vyengine...
How co-ops help Tanzania farmers feed Kenya
Saturday January 16 2021
Smallholder maize farmers in Tanzania have organised themselves into group through which they sell thousands of tonnes to...
Habari wakuu.
Wazo la mradi wa biashara ya matangazo.
Wazo linahusiana na kufungua kampuni itakayokuwa inatoa huduma ya kufanya matangazo ya kibiashara katika mfumo wa kidigitali (digital...
Matajiri wataendelea kuwa matajiri na masikini wataendelea kuwa masikini.
Msemo wa siku nyingi sana.
Wakati hapa Tanzania watu wanalalama vyuma vimekaza .They can't breathe [emoji3]Hali iko...
Siku 5 baada ya Elon Musk kutangazwa kwa mara ya kwanza kuwa mtu tajiri zaidi duniani baada ya share zake katika kampuni ya magari ya umeme kupanda kwa 4.8% na kufikisha utajiri wa $186bn na kukaa...
Habarini!
Kama kichwa cha habari kinavyojitambulisha kwenu business minded people, nimevutiwa na hii opportunity ama idea ya kua big distributor wa bia( kama sio nchini basi nje ya nchi)...
Habari zenu Wana jukwaa naomba kupata ufafanuzi Kama kuna watu wa Tra humu ndan. Kuna taarifa zinazosambazwa na maafisa wa TRA kuwa inatakiwa kufika kwa watu waliokuuzia mashine ili wakaiprogram...
Nimesikia kuhusu fixed account za nmb hivi ni kwamba ukisha jaza izo fomu pesa inaondoka kwenye account au itabakia humo na hauta weza kuifanyia matumizi
Najua una shauku ya kuwa MJASIRIAMALI mwenye mafakio. Lakini je, unazo sifa za kukuwezesha kufanikiwa kama MJASIRIAMALI?
Baadhi ya sifa zinazo mwezesha MJASIRIAMALI kupata mafanikio ni kama...
Wakuu habar z jioni,
Nina uhitaji wa kupata kibanda cha kufanyia huduma za mpesa na tiGo pesa ikiezekana kiwe na nafasi ya kuuzia vivywaji barid kwamaeneo ya Mbezi standi.
Kama una connection...
Habari za leo wakuu,
Leo nimerudi tena and hopefully tutakuwa pamoja kuendelea kujifunza kuhusu social media marketing and advertising
Leo nataka nishee nanyi jibu ambalo nililitoa baada ya...