Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
Habari jioni sana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza mwenye ABC za biashara ya studio ya picha tujuzane mambo yote ya msingi ambayo mtu anatakiwa kuyajua kama anataka kufanya hii biashara.
Natanguliza shukrani.