Natafuta soko la nazi

Mkuu subiri watakuja ila kwa kifupi mimi naona usitarajie mtu atakupigia simu ili umpelekee mzigo ila cha msingi, chukua mzigo ingia nao sokoni baada ya kufanya uchunguzi wa soko na eneo la kuweka mzigo kabla ya kukutana na madalali maana hawakwepeki hao
 
Mkuu subiri watakuja ila kwa kifupi mi naona usitarajie mtu atakupigia simu ili umpelekee mzigo ila cha msingi, chukua mzigo ingia nao sokoni baada ya kufanya uchunguzi wa soko na eneo la kuweka mzigo kabla ya kukutana na madalali mana hawakwepeki hao

Nimefilikia soko la Sterio
 
Naona bora utafute kijiwe chako mahali kama wale wanaouzaga matunda ,shusha hapo mzigo wako wa nazi halafu uza hapo hapo jero jero chap.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom