Naomba kupata mtu ambaye atanisaidia katika uaandaaji wa beer distributor business plan

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Habarini!

Kama kichwa cha habari kinavyojitambulisha kwenu business minded people, nimevutiwa na hii opportunity ama idea ya kua big distributor wa bia( kama sio nchini basi nje ya nchi).

Naomba kupata mtu ambaye ana weledi wa kutosha, aliyechangamka, anayejua Ku close deals, kufanya negotiations, anayejua chobingo zote katika hii biashara na pia atakayeweza kuandaa business plans kuanzia mwanzo hadi mwisho, mtaji wa kuanza nao, yanayohitajika, numbers, profit ipatikanaje, operations zitaendaje, confident person, ambaye anaweza Ku argue, kutoa point zilizoshiba, ambaye anaweza kutengeneza a win - win deal baina ya pande mbili.

Hutafanya haya bure, % yako ipo na itakua kisheria na proper documents zitakuwepo. Mtaji sio ishu sana.

Ikipendeza nipate mwanadada, ila akipatikana mwanaume sio mbaya, nimeenda tu na kanuni ya "ladies first", na pia mwanamke amepewa uwezo mkubwa sana, hata vitabu vitakatifu vina view hilo jambo, anyway ni fursa kwa wote.

Karibu sana.

NB: usijaribu Ku beep hii fursa unaweza kuumbuka, hii fursa ndani yake kutakua na kukutana kwingi na wadau wazito wa makampuni ya bia n.k, sasa usije tu inbox kwangu kunijaribu. Njoo kama unajiamini unaweza kufanya nachohitaji. At the end we will all benefit.
 

denis fourplux

JF-Expert Member
Aug 17, 2017
962
1,000
Mkuu wewe uwa ni mtu wa maproject makubwa makubwa yamapesa mengi mengi.

Uzi wako una masaa 14 watu wanaucheki tu hawamwagi wino naisi kujimwambafai sana napo kumewafanya wakimbie.

Haiwezekani zile mishe zote za mamilion zifeli au bado unakaa nyumbani hauna mishe una maidea tu?

Miaka miwili iliyopita ulisema unauza Lain zako za Uwakala unaenda Nje ya nchi kusoma vipi usharudi?

Mwaka mmoja nyuma ulikua unasafirisha na kufanya biashara ya Dagaa kutoka mwanza to Arusha vipi nayo uliacha?

Unaongelea Mamilion ya pesa na Mabilioni ya pesa kwa project ambazo huna uwezo wa kuzifanya mkuu nakushauri pambana kutafuta pesa ili aya ma idea yako yasiwe story za vijiweni tu.

Nakukumbusha tena uliwai kuuliza biashara zinazoingiza milioni 10-500 je ukiwai zifanya au fatilia ? Maana naona unatapatapa kila siku na biashara mpya au idea mpya.


Ivi ukutupa feedback ya ile Idea yako ya uvuaji wa Masamaki uko baharini kwa Meli ulifikia wapi?

NB Ukiwa muongo uwe unakumbuka
 

Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,440
2,000
Nenda CCM watakupa mawazo 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Nenda CCM watakupa mawazoUnafeli maisha.
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Mkuu wewe uwa ni mtu wa maproject makubwa makubwa yamapesa mengi mengi.

Uzi wako una masaa 14 watu wanaucheki tu hawamwagi wino naisi kujimwambafai sana napo kumewafanya wakimbie.

Haiwezekani zile mishe zote za mamilion zifeli au bado unakaa nyumbani hauna mishe una maidea tu?

Maana naona mpaka leo hutoi feedback ya zile Idea zako za uvuaji wa Masamaki uko baharini kwa Meli.
Nilishatoa update mbona mkuu. Kwa sasa ni project nyingine hii. Business man huwezi Fanya biashara moja tu.
 

denis fourplux

JF-Expert Member
Aug 17, 2017
962
1,000
Nenda CCM watakupa mawazo
Hehehe JF raha sana
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,706
2,000
Unaosoma chuo wewe unataka kusaidiwa kuandika business plan ache hizo pambana mwenyewe upate degree yako kihalali nyie ndio mnasumbua mkiajiriwa mnapaya chuo kubwa kichwani hamna kitu performance ya kazi inakuwa zero na kumsababishia mwajiri hasara
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Unaosoma chuo wewe unataka kusaidiwa kuandika business plan ache hizo pambana mwenyewe upate degree yako kihalali nyie ndio mnasumbua mkiajiriwa mnapaya chuo kubwa kichwani hamna kitu performance ya kazi inakuwa zero na kumsababishia mwajiri hasara
Mbona hasira sana unaumia kutokea wapi dogo
 

Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,982
2,000
Maisha yanatuchanganya vijana awamu hii,idea nyingi mitaji pamoja na masoko tatizo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom