Bloomberg billionaire Index: The rich get richer, the poor get poorer

Bloomberg billionaire Index: The rich get richer, the poor get poorer

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,227
Reaction score
27,065
Matajiri wataendelea kuwa matajiri na masikini wataendelea kuwa masikini.

Msemo wa siku nyingi sana.

Wakati hapa Tanzania watu wanalalama vyuma vimekaza .They can't breathe [emoji3]Hali iko tofauti huko "duniani"

Matajiri wakubwa 500 dunia ukwasi wao umeendelea kupaa kwa spidi za ajabu sana [emoji15]

Jeff bezos Tajiri namba moja dunia ukwasi wake umeongezeka maradufu licha ya kwamba alitoa talaka juzi Kati na sehemu ya utajiri wake ambao ulikuwa Kama $147B hivi na kumpa mtalaka wake 38$B

Hii ilimfanya apunguze ukwasi wake Hadi around. 117$B

Last week nilicheki BBI alikuwa na around 167$B Leo ana 189$B [emoji15]hatari!!!

Bezos amefaidika kwa kikubwa kipindi Cha peak ya corona ambapo kampuni yake kubwa ya AMAZON ilichanganyanga biashara sababu ya uhitaji wa huduma zao baada ya lockdown ku take over kwa state nyingi marekani na baadhi ya nchi zenye matawi ya kampuni yake .

Kwa hesabu za haraka haraka Ina maana angekuwa na around 200$B ,Kama asingekuwa na divorce.

Maana zile 38$B za ex-wife wake Sasa ziko around 60$B something

Kuna mabilionea wengine ukwasi wao umepanda kwa kasi sana Kama akina Mark Zuckerberg na Elon musk

Hawa jamaa watasumbua sana dunia huko tunakokwenda sababu nahitaji ya teknolojia katika uendeshaji wa maisha yameongezeka kwa kasi kubwa.

Je, inakuwaje Hawa watu ukwasi wao unaongezeka haraka.

Hii nikutokana na kampuni wanaozimiliki kuwa listed katika masoko ya hisa makubwa mfano NYSE, Ina maana kwamba kampuni inakuwa public inakuruhusu wenye pesa zao kununua na kuuza hisa wanazomiliki katika hio kampuni.

Tendo hili huchangia kuongezea kwa Bei za hisa ndio hapo Sasa wenye hisa nyingi ukwasi huoongezeka maradufu.

Hali Ni tofauti na huku afrika hakuna mwako wa ununuzi na uuzaji wa hisa katika makampuni yanayofanya vizuri .

Hii hupelekea baadhi ya kampuni kupata wakati mgumu wapi pa kupata mitaji ya kutanua huduma wanazotoa

Matokeo yake kampuni nyingi hufilisika na kufa kabisa.

Mwenye nacho huoongezewa,asiye nacho hata kile kidogo alichonacho kitanyang'anywa.

Vijana tupambane,wanasiasa wezesheni fursa za kukua kiuchumi na kiteknolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Screenshot_20200711-185342.jpg
Screenshot_20200711-185342.jpg
Screenshot_20200711-185342.jpg
Screenshot_20200711-185342~2.jpg
 
Hatari sana boss jamaa kashampita

Na hapo naona bado sana huyu jamaa ana balaa lake

Tesla share Zina shoot up kwa kasi kubwa sana

Sipati picha siku ,spaceX , SolarCity na star link zikiwa listed pale NYSE .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hisa za Tesla sio za kuziacha.

Wanasema Ellon Musk atakuja kuwa the richest guy in the world.
 
Hisa za Tesla sio za kuziacha..

Wanasema Ellon Musk atakuja kuwa the richest guy in the world
Sure the guy is focused maana anafanya the impossible kuwa possible kiasa kwamba watu washaanza kumuiga mission zake

Mwanzo walimponza kuhus electric cars Leo Kuna kampuni zinataka kuanza kuunda hizo Gari

Bezos nae ashamuiga na blue orign yake [emoji3]halafu musk anamuita Copycat[emoji3]

Musk ana fans wake ana future nzuri huko mbeleni

Pia Mark Zuckerberg nae sio wa kumpuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The rich get richer the poor get poorer

Naona bezos bado five bilion afikie 209B$ duuuh huu mwaka kabla hujaisha lazima afike huko

Bill gates anasuasua Hana spidi sana

Mark na Elon Wana spidi za rocket

Kama Microsoft wangapata dili la tiktok Basi bill angeongeza ukwasi wake kwa spidi sana

Tiktok populary imeongezeka sana kipindi hiki Cha covid

Amazon price per share zinazidi kukwea angani

Uzi endelevu

Acha na nasisi tupambane kitaa huku[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom