Habari wajumbe!
Leo nimeona niongelee hili suala la tabia ya watu kujijaza dukani hasa wakati wa usiku na hawanunui kitu inavyokwamisha biashara.
Mimi kama mteja nimeshawai ahirisha kwenda...
Tafadhali kwa yeyote anayejua au anao uzoefu wa gharama za uchimbaji wa visima naomba anielezee mchanganuo wake akijumuisha na gharama za uchunguzi (surveying) eneo nilipo ni Mbeya km 8 kabla...
Wakuu ,habari
Naomba ambae anajua jinsi ya kupokea pesa toka Europe kupitia worldremit, yaani vitu muhimu ambavyo natakiwa kuwa navyo, mfano account na vingine vya msingi mpaka napokea pesa...
Ninaposema wenye pesa zao, nina manisha mitaji mikubwa.kuna watu wana pesa hawajui ni biashara gani ya kuzifanyia wanakimbilia kuziweka kwenye fixed account na kuambulia riba ya asilimia 11...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kujenga Taifa Mana wazee tunapambana paka inafikia muda unasema sijui niende kigoma kucheki nyota kwanza[emoji16]
By the way nilikua na mission za kununua...
Naomba msaada, ile TIN number ninayotumia kulipia road licence naweza kuitumia kwa biashara nyingine. Na je nahitaji kufanya kitu chochote huko TRA kama kujaza fomu etc kabla ya kuitumia kwa biashara.
Greetings!
Kama kawaida leo nipo hapa nataka nikuonyeshe biashara au niseme side hustles unazoweza kuanza right now ili utengeneze pesa online. Binafsi nazitumia side hustle hizi na si blah blah...
Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara:
1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza...
Hii ni mada mpya kwa ajili ya wajasiriamali katika mwanzo wa mwaka huu mpya.Katika mwaka 2020 nilifanikiwakufanya kazi na wajasiriamli 79 ambao walikuwa na mahitaji tofauti.Kati ya hao wote...
Wadau sana, habari zenu?
Naomba kuuliza, kama mimi ni Consultant/Mtalamu nafanya kazi zangu na mashirika yasiyo ya kiserikali na napata angalau kamkate ka nyumbani, wale wanao nipatia kazi...
BOT and TRA can parsue the following proposal to increase efficiency,transparency and ensure that we are going to spend public fund prudently
1. Each department within the government - police...
Changamoto wanayokutana nayo wafanyabiashara ni kutokulipwa madeni yao kwa wakati na hivyo kupunguza kasi ya mzunguko, wengine wanakopa wanakaa na hela mpaka mwaka.
Na si kwamba hawana uwezo wa...
Habari za muda huu wadau,
Katika pita pita zangu Instagram na social network sites zingine nimegundua Bongo humu humu kuna watu wana pesa chafu wanakula le maishaz! Sasa na mm nimechoka kuishi...
Habari za muda wadau na wanajamvi,
Tony Elumelu ni mwana wa afrika, mjasiriamali, mpambanaji na mkarimu pia. Alianzisha foundation ya Tony Elumelu, mnamo mwaka 2010. Nia ilikuwa ni
kuwawezesha...
Wadau Jf habari za mihangaiko wakuu mimi nipo Dar kwa sasa ila natembelea sana Geita nimekuwa interested sana na biashara ya dhahabu sasa natamani sana kupata connection ya hizi biashara.
Tunaelekea kipindi ambacho Mahitaji ya Wanafunzi kwa ajili ya shule ndio kipaombele zaidi, tumeshatoka kwenye nguo za sikukuu n.k. Sasa tuna Switch ON upande wa pili.
Ni kipindi kifupi sana ila...
Kama title inavyojieleza hapo juu,
Wakuu nina idea ambayo nahitaji ku-work on it na ninampango wa kuwashirikisha baadhi ya organisation na benki as shareholder but changamoto ninayoiona kubwa ni...