Act on your goals,Reward your achievement and Forgive yourself

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,490
5,525
Hii ni mada mpya kwa ajili ya wajasiriamali katika mwanzo wa mwaka huu mpya.Katika mwaka 2020 nilifanikiwakufanya kazi na wajasiriamli 79 ambao walikuwa na mahitaji tofauti.Kati ya hao wote niliofanya nao kazi kuna ambao walifurahia kazi zangu na kuna ambao hawakufurahia huduma zangu lakini pia kuna ambao walinivumilia sana pale ambapo sikufikia matarajio yao.Katika yote nilijifunza kitu kimoja EMOTIONS AND BUSINESS ARE ENEMIES (both negative and positive)

The only thing that matter in business is LOGIC,VALUE and TRUTH.Unapkuwa unafanya kazi na wateja wa aina mbalimbali ili ufanikiwe jitahidi sana kuhakikisha kwamba hauruhusu EMOTIONS ziathiri BIASHARA mahusiano na wateja wako.Zingatia kwamba,wakati fulani unaweza usiwaridhishe wateja wako na wakati mwingine unaweza kuzidi matarajio yao.Vyovyote vile jitahidi sana utambue kwamba kama umeamua kuwa mfanyabiashara na mjasiriamli basi utashughlika na masuala kama hayo na hali kama hizo mara nyingi sana.UKIRUHUSU HISIA ZAKO kuna uwezekano kabisa utashindwa kufanikiwa kibiashara.

Wateja wengi wanapokupa huduma au kazi huwa wanataka Assurance(hata kama hutatimiza malengo/ahadi bado watataka assurance)Zaidi fahamu kwamba katika hali yote usitake wateja wakuonee huruma bali waoneshe uwezo wako pamoja na limits zako.Sasa nirudi kwenye mada ya msingi.

Moja kati ya sifa kuu ya watu waliofanikiwa ni uweza wao wa KUFANYIA KAZI MAAMUZI NA MIPANGO YAO.Kila mtu anaweza kuwa na mipango mizuri ili ambaye ataona matokeo ni yule ambaye ataamua kuifanyia kazi.Power of Execution is the Key to excellence.
katika kutekeleza malengo yako usisahau kujipongeza na kujipa moyo kwamba unaweza.(If you cannot appreciate yourself you cannot appreciate others or life)Jifunze hilo.Kama umeweka lengo la kuamka kwa wakati na ukafanikiwa kuamka kwa wakati basi jipongeze kwa hatua hio.Jipongeze.

Jisamehe,yes Wote tunafanya makosa,tunazembea na wakati mwingine tunatenda yasiyofaa.Jisamehe. FORGIVENESS OF SELF IS NOBLE but do not JUSTIFY you MISTAKES Acknowledeg and learn to be better.LEARN FROM YOUR MISTAKE.

Kama kawaida niandalie kuwahamasisha wale ambao wanafikiri kwamba hawajaiva kuwa wajasiriamali kwamba sasa tutaanza kuwa na MADARASA (MASTERCLASSES ) kwa ajili ya ENTREPRENEURS) Iwapo unapenda kushiriki katika madarasa hayo tafadhali wasiliana nasi kwa EMAIL masokotz@yahoo.com au Tupigie simu 0710323060 ili kufahamu Tarehe na eneo ambako Darasa litafanyika.

Kumbukua maendeleo ni HATUA na Mabadiliko ni HATUA nakutakie 2021 wenye mafanikio TELE na FURAHA.

Wasalaam.
 
Ahsante nimejifunza kitu kikubwa
 
Daa MIE pia kuna kitu nimetoka nacho sana kikubwa.
Ila kuna kazi Fulani ama aina Fulani ya biashara naifanya ningeomba MTU Wa masoko na uwekezaji awe consultant Wangu na sio Hayo ya kukaaa darasani. Mana na wewe unafanya biashara ndugu kwa kuuza ujuzi wako.
MIE nilipenda Ushauri.
Pia nikiwaa na kijana aliyesomea marketing ni Poa sana.
 
Back
Top Bottom