Pikipiki ya miguu mitatu ya mizigo

Pikipiki ya miguu mitatu ya mizigo

chija

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
276
Reaction score
65
Pikipiki ya miguu mitatu yaani guta inaleta faida. Tupeni uzoefu wenye biashara hii nataka nijaribu kununua
 
Ilikuwa zamani lkn sasa kuna zike toyo za mataili 3 zimechukua nafasi kubwa sana sehemu ya guta,lkn pia inategemea na mazingira uliokuwapo ,nakushauli kama unayo pesa nunua ile tena kuna toleo jipya ,zina nguvu kama keri na inabeba mzigo mkubwa zaid ya keri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizo kubwa bei ikoje ?
 
Keri ndo kitu gani?
 
Hiyo ndio keri
Screenshot_2020-05-17-21-31-46.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada wakuu,, hivi pikipiki ya magurudumu mawili yenye uwezo wa juu kabisa inaweza kubeba kg ngapi?
With thanks.
 
Back
Top Bottom