Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba anaye fahamu kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa leseni ya KUKOPESHA hela ya riba aniambie nina mtaji wa mil 10
1 Reactions
25 Replies
3K Views
1. DSE have to publish graphic monthly performance, yearly performance and even 5 years performance (Presidential years performance) with elaboration in a Government Gazette or TV , This is very...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, kutokana na hali ya biashara kuwa ngumu imetulazimu baadhi ya wafanyabiashara kufanya biashara zaidi ya moja kwenye jengo moja ili kuongeza kipato na kupunguza gharama za uendeshaji...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Sijui kama niko sawa ninachokiona kwenye soko la hisa la Dar es salaam kwamba tangia mwaka 2015 soko hili limeenda likishukaa taratibu nikimaanisha bei za share za makumpuni karibia yote. Yaani...
0 Reactions
6 Replies
940 Views
Wadau Natafuta mtu wa kusimamia biashara ninayotaka kuanzisha ( bidhaa ndogo ndogo) , awe na sifa zifuatazo; 1. Awe na uzoefu na upeo wa kufanya biashara hasa za bidhaa ndogo ndogo 2. Awe na...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha. - Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi -Utaenda hadi duka lingine kutafuta...
9 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari wadau.. Naombeni msaada wa ushauri.. Nimepata mgao wa urithi kama milion 30 hivi.... sitaki kuzitumia now na nipo chuo bado nasoma. Nafikiria kuziwekeza kwenye non risk investment...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Hellow. Mambo vipi wanaJf. Leo nimekuja Tena. Nimepata wazo la kufanya biashara ya pikipiki used kutoka Dar kwenda mkoani. Naombeni kupata changamoto, faida na namna nitakavyopata hizo pikipiki...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wapendwa Mtu ukiwa na mtaji unaotosha kununua pikipiki ili uwe unapata kamisheni ya kila siku na kuwekeza kwenye saloon uwe unapata kamisheni ya kila siku. Je upande ipi una faida na risk ndogo au...
0 Reactions
5 Replies
953 Views
Msaada jamani nahitaj kuagiza Kifaa flan hv kidogo kutoka China ila kuna mtu alinambia lazima niwe na S.L.P yangu ili mzigo wangu ufike hapo. Sasa mimi sina hiyo S.L.P na nahitaj kuagiza. Je...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini Wana jamii forum Mimi ni mkazi wa dodoma maeneo ya Airport chako ni chako,natafuta kazi yoyote ile ya halali nipo tayari kufanya.
0 Reactions
6 Replies
811 Views
Habari zenu wana JF kwa muda mrefu sana nilikuwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza viatu, sasa wakati umeshafika. Mimi nipo Arusha ila nasikia Moshi kuna viatu vizuri kweli, sijawahi kwenda huko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya biashara ambayo naweza kufanya karibu na shule ya sekondari. Ninalo eneo pembeni ya shule.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
https://chat.whatsapp.com/E3QA3ZGnthUJGkpWSZuKHV 1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo 2.Simple za kike zinapatikana 3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na kuwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imetakiwa kuwalinda wawekezaji hususani wazawa wenye viwanda vidogo ili wasaidie kukuza uchumi wa Taifa kupitia viwanda kama yalivyo maono ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Hapa nazungumzia Kenya, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi na Msumbiji. Mbongo unaweza fanya jambo gani huko la kukuingizia kipato? Kazi na bidhaa gani zinahitajika huko? Changamoto zake ni nini?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu! Mimi ni kijana jinsia (me) Wasifu: Fresh graduate nina shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano (ICT) kwa sasa nipo Dar naendesha biashara yangu, experience yangu kwenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu za leo. Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza. Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa...
5 Reactions
114 Replies
21K Views
Habari zenu. Nina ndugu yangu yuko Moro anajishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya ulanga na feldspar. Kwa anayefahamu soko anaweza akawasiliana nami na kila yatakapofanyika mauzo atapata...
0 Reactions
17 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…