Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 117
- 85
Habari zenu. Nina ndugu yangu yuko Moro anajishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya ulanga na feldspar. Kwa anayefahamu soko anaweza akawasiliana nami na kila yatakapofanyika mauzo atapata comission. Au kama kuna mtu ni mnunuzi awasiliane nami moja kwa moja.