Hellow. Mambo vipi wanaJf. Leo nimekuja Tena.
Nimepata wazo la kufanya biashara ya pikipiki used kutoka Dar kwenda mkoani.
Naombeni kupata changamoto, faida na namna nitakavyopata hizo pikipiki used zisizo na kasoro nyingi.
Shukrani.
Wenu selason