Biashara gani naweza kufungua karibu na shule ya sekondari?

mamuu246

Senior Member
Jul 29, 2019
132
225
Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya biashara ambayo naweza kufanya karibu na shule ya sekondari. Ninalo eneo pembeni ya shule.
 
Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,409
2,000
Sijajua eneo lina ukubwa gani?! Na mtaji wako kiasi gani?!

Lakini
1.kama eneo linaweza kukaa jengo (banda) la stationary ni wazo zuri ukaweka uduma za miamala ya simu itaongeza mzunguko.

2.kama eneo linaweza kukaa restaurant ya wastani ni nzuri zaidi kwa kuweka bei rafiki kwa aina ya wateja wako ambao ni waalimu na wanafunzi wengine watongezeka wa ziada.

3.Unaweza kukodisha hilo eneo watu wenye mitaji yao wakaweka biashara hii ni nafuu haiitaji mtaji.
Kila la kheri
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,037
2,000
Hapo inabidi ufungue banda la mihogo ya kukaanga na Chips funga. Kuna jamaa alikuwa na goli kama hilo Benjamin Mkapa Secondary alijenga nyumba tatu na alinunua Kirikuu kwa biashara hiyo
 
mamuu246

Senior Member
Jul 29, 2019
132
225
Asante kwa mawazo mkuu... hasa hilo la stationery. Hapo nisaidie bidhaa nazoweza kuweka kwa kuzingatia sera yetu ya elimu bure...
Sijajua eneo lina ukubwa gani?! Na mtaji wako kiasi gani?!

Lakini
1.kama eneo linaweza kukaa jengo (banda) la stationary ni wazo zuri ukaweka uduma za miamala ya simu itaongeza mzunguko.

2.kama eneo linaweza kukaa restaurant ya wastani ni nzuri zaidi kwa kuweka bei rafiki kwa aina ya wateja wako ambao ni waalimu na wanafunzi wengine watongezeka wa ziada.

3.Unaweza kukodisha hilo eneo watu wenye mitaji yao wakaweka biashara hii ni nafuu haiitaji mtaji.
Kila la kheri
 
mamuu246

Senior Member
Jul 29, 2019
132
225
Nitafanyia kazi wazo hili pia
Hapo inabidi ufungue banda la mihogo ya kukaanga na Chips funga. Kuna jamaa alikuwa na goli kama hilo Benjamin Mkapa Secondary alijenga nyumba tatu na alinunua Kirikuu kwa biashara hiyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom