Hii picha inatupa funzo usidharau maamuzi ya mtu wala usimlaumu badala yake wewe bariki tu maamuzi yeyote anayetaka kuchukua mtu 🤣
Yule jamaa yetu wa hisa za milion 60 nadhani saivi anaitafuta 300M
Wakuu habari za mda huu.
Hivi Benk zetu wameshindwa kabisa kubuni mfumo wa kutoa huduma kwa uharaka?
Imagine leo nimeenda bank kwa ajili tu huduma za mkononi. Lakini unatumia almost masaa matatu...
Jinsi Rostam Aziz Alivyoingiza Zaidi ya TSh Bilioni 7 Ndani ya Siku Mbili Kupitia Hisa Bila Kuuza chochote
Kama humjui Rostam Aziz, ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa na wawekezaji wenye...
Kusajili Kampuni ya Construction Kuna procedures zake ambazo hazijaachana sana na Kampuni ya kawaida, ila hapa nitakuandikia in details procedures hizo;
1/5 Company Registration
Hapa utafuata...
Habari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii...
"Mnaolalamika hakuna ajira muende mkajiajiri msisubiri kuajiariwa" Hizi si kauli ngeni mjini ila ni kauli ambazo husemwa na watu ambao aidha hawajawahi pitia msoto wa mtaani au wana watu wa...
Habari za muda huu,
Leo sina maelezo mengi nimekuwekea mkeka wa bei za jumla za mbao size zote kwa wilaya ya Njombe kwa wafanyabiashara wanaotaka kujumua na kwenda kuuza mikoa mingine kama Dar es...
.Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti
LAKINI
.Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna...
Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250
Hasa...
Wadau kwema nijuzeni
Hivi ni wapi Mwanza jijini naweza kupata viungo vya pilau na chai kwa bei ya jumla? Pia ubuyu wa mbegu, vipande na mifuko ya jumla jumla kwa bei nafuu? Nijuzeni tafadhali...
🚗 AIR ALERT TIRE VALVE CAP
Angalia presha ya tairi lako kwa urahisi bila kifaa maalum!
🟢 Kijani – Presha ya tairi iko sawa
🟡 Njano – Presha inapungua
🔴 Nyekundu – Presha ndogo, ongeza hewa
Inafaa...
Nataka kufanya trading Zanzibar. B2B Trading. Wajuzi naomba mnisaidie idea za bidhaa ambazo ni nzuri kwa B2B na ni scalable. Kwa kuanzia nataka kutoa bidhaa Tanganyika na kupeleka Zanzibar...
Boring businesses zina pesa nyingi sana.
Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi”
Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini...
Habari mjasiriamali,
Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns.
Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual...
Habari mjasiriamali,
Last week nimepata watu watatu walioniuliza swali Moja, "nawezaje kubadili TIN yangu iwe TIN ya biashara?"
For collective good nimeona nikuandikie hapa na wewe.
Kuna hatua...
Kwema Wakuu,
Za weekend?
Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja.
Alternatively hizi...
Habari wanaJF,
Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.