Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Anonymous
Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa. Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho. Ssa sisi ni...
3 Reactions
14 Replies
662 Views
Habari Wana Jukwaa Samahani Naomba Mawazo Yenu Mimi Ni Kijana Wa Miaka 30 Sasa Kiwango Changu Cha Elimu Ni Darasa La Tano Na Nina Cheti Cha Udereva Wa Awali Nimejitahidi Kutafuta Kazi Ya Taaluma...
7 Reactions
21 Replies
520 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema wingi wa taasisi za udhibiti nchini unachangia usumbufu mkubwa katika biashara na kuathiri ukuaji wa sekta hiyo...
5 Reactions
2 Replies
238 Views
Ndugu Mjasiriamali, Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA. Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines. Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
6 Reactions
16 Replies
604 Views
UTT n mfuko wa hisa ✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka ✅kutoa pesa inachukua siku 3 ✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote ✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine ✅Haina makato ya kila mwezi kama...
11 Reactions
141 Replies
10K Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Karibu sana wewe unayetaka kuipeleka biashara yako kwenye kiwango cha juu zaidi! 🚀 Kama una ndoto ya kuwa na website ya kisasa, yenye mvuto na inayouza kwa niaba yako masaa 24, basi huu ndio...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Habari ndugu zangu kwa mtu mwenye sehemu nzuri yenye mzunguko wa watu dar es salaam aniunganishe nataka nifungue juice point. Mjasiliamali mwenzenu nimejipigapiga nimekusanya ka'mtaji sasa...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Wadau wa fedha na uwekezaji, Kuna kitu muhimu sana ambacho mara nyingi tunakisoma kwenye vitabu vya Rich Dad Poor Dad na vingine vya personal development, lakini wengi wetu hatuchukui hatua —...
1 Reactions
3 Replies
220 Views
guest-1788672427
Angalau upate faida 50k perday Kwa jiji la Dar es salaam
8 Reactions
59 Replies
2K Views
NINI KIFANYIKE KUPUNGUZA MFUMUKO WA BEI YA MAFUTA NCHINI? Na ;Revocatus James Ng'oja Soma kwa utulivu huu ni Uchambuzi wa Kiuchumi, Kitakwimu na Sera Mbadala. Ndugu Watanzania,Mafuta ya petroli...
1 Reactions
4 Replies
415 Views
Nimeona DSE wana mfumo wa kuuza na kununua hisa online. Huwa natamani sana kuingia kwenye huu uwekezaji maana naweza kuweka pesa zangu ndogondogo huko badala ya kuzitumia ovyoovyo. Siwezi kwenda...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Niaje wazee mpo? Tupo katika kuendelea kutengeneza pesa. Siku siyo nyingi nitakuwa Masasi mjini, vipi naweza nikafanya biashara gani Masasi mjini inayolipa haraka kule Mtwara. Naheshimu mawazo Yenu
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Ndugu zangu watanzania wenzangu,kaka zangu,dada zangu,baba zangu na mama zangu. Naombeni mnishauri aina ya biashara nayoweza kufanya na nikapata mafanikio ndani ya mda mfupi mfano ndani ya miaka...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Kuwa na leseni ya biashara ni hatua ya msingi kwa mjasiriamali yeyote anayetaka kuendesha biashara kwa uhalali. Leseni hii hutambulisha biashara yako kisheria, hukuwezesha kufanya kazi kwa kufuata...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page...
3 Reactions
4 Replies
402 Views
3 Reactions
8 Replies
272 Views
Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na...
2 Reactions
3 Replies
923 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…