Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za leo, Kumekua na thread nyingi zinazohusiana na biashara ya bajaj na pikipiki. Nyingi zikijikita katika mambo ya uendeshaji wa vyombo hivyo na uuzaji wake wa spare parts. Lakini...
8 Reactions
34 Replies
12K Views
Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo. Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa...
23 Reactions
135 Replies
18K Views
Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Uchimbaji wa dhahabu kuanzia kwa mchimbaji mdogo mpaka mkubwa. Watu wanaingia woga sana kwenye hii biashara ambayo inataka umakini na adabu sana kwenye fedha. Tuanze na uchimbaji wenyewe Kwanza...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wakuu Wa JF, Nimekua Mdau wa JamiiForums, Kwa Muda Kidogo But leo, Nimeona nije niombe Kama Kuna mdau ambae anahitaji kuinvest katika upande wa Technologies ( ICT / IT ). Mimi Ni Kijana...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu kama kichwa kinavyo jieleza kama kuna MTU anafahamu nikwa namna gani MTU naweza kuwa tajiri samahani naomba tusaidiane mawazo Ili wengine wenye uhitaji huo kama Mimi tuifikie utajiri...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naamini mko na afya njema. Nilikua naomba wadau wanaoyafamu mawe yenye mali mcheki haya mawe mnipe ideas zenu mi naona kuna clear gold lakini view inatofautiana
2 Reactions
6 Replies
809 Views
Good evening, I am a Tanzanian business man living and based in Arusha, I am doing tourism mainly in accommodation in Ngorongoro and Serengeti. I am now looking for an investor/partner to join...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo. Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibu wana JF tupeane mawazo ya kuwekeza katika online marketing mfano kuwengeneza website kama jumia kupatana facebook twitter youtube whatsapp halloapp Tuwe na sisi na vya kwetu sio kutegemea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Biashara (kuuza na kununua au kubadilishana bidhaa) imedumu duniani tangu enzi za kuumbwa kwa dunia. Kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wa kila aina. Hapo awali biashara ilifanyika kwa...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana. Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali? Natanguliza shukrani.
2 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wadau naomba kujua trend ya soko la hisa kwa mkombozi bank kwa sasa! Pia naomba ushauri kwasababu kunamtu anataka kuniuzia hisa zake kwa maelezo kuwa amepata matatizo , Nasita kununua...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natamani kuanzisha kiwanda cha kutengeneza miswaki,design mbalimbali,miswaki hiyo itatokana na vitu asili na siyo kama miswaki tunazotumia ambazo ni plastic,nimegundua zina madhara, Kama utapenda...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wadau! Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini. Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu...
9 Reactions
74 Replies
9K Views
Wapambanaji mambo ni vipi, Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni. Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata...
8 Reactions
82 Replies
16K Views
Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning. Msaada...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Improvement in service Deliverance can be done through creation of a software that will be able to entirely collect all important information of a service-providing Centre The service proving...
0 Reactions
2 Replies
488 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…