Hisa za Mkombozi bank

Hisa za Mkombozi bank

muladen

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
26
Reaction score
17
habari wadau naomba kujua trend ya soko la hisa kwa mkombozi bank kwa sasa!
Pia naomba ushauri kwasababu kunamtu anataka kuniuzia hisa zake kwa maelezo kuwa amepata matatizo ,
Nasita kununua naomba ushaurii,
 
Kwa mambo yalivyo sasa inabidi uwe na roho ngumu kununua hizo hisa ila kama umejidhihirisha na upo tayari na vilevile upo vizuri katika "risk taking" nakutakia kila lakheri
 
Kama unawekeza long term investment sawa,ila sio kwa kutegemea faida,faida yaweza kuja mbeleni ila kwa sasa banking sector imeyumba muulize Dr Kimei atakwambia.
 
Asanteni wakuu kwa shauri zenu ntazifanyia kaziii
 
usinunue, kwa sasa haziuziki Dse, future prospects pia ni questionable kwa kuwa bank industry Hali ni tete..
 
Hali ya chumi kiujumla ni mbaya sio kwenye mabenki tu. Fungua external currency account kwenye mabenki kama standard chartered na backlays utaweza kunufaika baadae na pesa yako
 
Hali ya chumi kiujumla ni mbaya sio kwenye mabenki tu. Fungua external currency account kwenye mabenki kama standard chartered na backlays utaweza kunufaika baadae na pesa yako
Thanks bro
 
Mkombozi benk kuna shida gani tena? ukienda unaambiwa balance ni sifuri.
 
Back
Top Bottom