Mtaji wa 10 milion nipo moro mjini

Mtaji wa 10 milion nipo moro mjini

apizo

Member
Joined
Sep 4, 2021
Posts
7
Reaction score
9
Wadau naomba ushauri nina mtaji wa milion kumi, ni biashara gani itafaa kwa moro mji japo kwa Mwezi nipate walau faida ya laki nane?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mzee faida lak 8.. ?? Kaa chini jifunze kuhsu biashara
think long term utapata faid nying ila kama ni short ngumu mzeee ila ufahamu biashara ni risk ..

Kama ndo mara yak kwanza kufanya biashara na ujui ufanye nin utapoteza pesa zako zote.. kitu muhimu anza kuwekeza sehem tofaut tofaut mfano m3 nawekeza kweny M pesa tigo etc m3 nawekeza kwenye pkpk
m4 nawekeza kwenye financial instruments ila lazima upate wataalum ambao watakusaidia kuwekezaa mfano UTT amis, Solomon brokers
 
Ushauri wa kufanya biashara inayokupa faida unalipiwa ...ni sawasawa na unapoumwa halafu ukaenda kupima maabara unalipia hivyo kama kweli uko serous nifuate inbox nitakupa ushauri na faida utapata
 
Back
Top Bottom