Kama una mtaji njoo uwekeze huku

Kama una mtaji njoo uwekeze huku

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
578
Reaction score
575
Habarini wapendwa poleni na majukumu.

Nimeiona hili Jambo ni changie pamoja nanyi katika harakati za kutafuta nilifika mkoani Mwanza sehemu moja wanapaita Fela ni moja ya sehemu iliyo bahatika kuwa na vituo vya treni ya mwendo kasi.

Hili eneo linahitaji huduma zifuatazo

1. NYUMBA ZA KULALA

Kuna gest mbili tu nazo hazikidhi mahitaji ya wageni maana kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kila kukicha.

2. BAR

Hapa tunazungumzia sehemu ya kupata vinywaji kiukweli zipi mbili Ila bado hazikidhi watu wengi maana hili Ni eneo la mradi kwa kutakuwa na ongezeko kubwa Sana la watu ukizingatia hapa ndio main camp na bado Kuna ujenzi wa bandari kavu pia.

3. HUDUMA ZA KIJAMII
Kumekuwa na ongezeko la watu ambapo baadhi ya huduma hazipatikani mfano wazawa wanatumia M PESA TU kupata huduma Kama tigo pesa au huduma za kibenki imekuwa ngumu.
Hakuna wakala wa huduma za kibenki hata mmoja eneo zima la Fela.

4. SALUNI
Saluni zilizopo hazina hadhi kwa maana kwamba zilizopo Ni local huwezi kuapata saluni ya kunyoa na kuosha kichwa hapo hapo na zipo 3 tu.

KARIBUNI MUWEKEZE FELA MWANZA NIMEONA NITOE HILI NAIMANI KWA YULE ATAKAE KUJA KUWEKEZA KAMA ATAFANIKIWA KUAJIRI MTU BASI YAWEZEKANA AKANIAJIRI MIMI AU MWINGINE TAYARI ATAKUWA AMEOKOA . KARIBUNI SANA 0657623266
 
Habarini wapendwa poleni na majukumu.
Nimeiona hili Jambo ni changie pamoja nanyi katika harakati za kutafuta nilifika mkoani mwanza sehemu moja wanapaita fela ni moja ya sehemu iliyo bahatika kuwa na vituo vya treni ya mwendo kasi.

Hili eneo linahitaji huduma zifuatazo

1#NYUMBA ZA KULALA

Kuna gest mbili tu nazo hazikidhi mahitaji ya wageni maana kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kila kukicha.
Nani aje kuwekaeza bar na hotel kijijini mkuu
 
Habarini wapendwa poleni na majukumu.

Nimeiona hili Jambo ni changie pamoja nanyi katika harakati za kutafuta nilifika mkoani Mwanza sehemu moja wanapaita Fela ni moja ya sehemu iliyo bahatika kuwa na vituo vya treni ya mwendo kasi.

Hili eneo linahitaji huduma zifuatazo

1. NYUMBA ZA KULALA

Kuna gest mbili tu nazo hazikidhi mahitaji ya wageni maana kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kila kukicha.

2. BAR

Hapa tunazungumzia sehemu ya kupata vinywaji kiukweli zipi mbili Ila bado hazikidhi watu wengi maana hili Ni eneo la mradi kwa kutakuwa na ongezeko kubwa Sana la watu ukizingatia hapa ndio main camp na bado Kuna ujenzi wa bandari kavu pia.

3. HUDUMA ZA KIJAMII
Kumekuwa na ongezeko la watu ambapo baadhi ya huduma hazipatikani mfano wazawa wanatumia M PESA TU kupata huduma Kama tigo pesa au huduma za kibenki imekuwa ngumu.
Hakuna wakala wa huduma za kibenki hata mmoja eneo zima la Fela.

4. SALUNI
Saluni zilizopo hazina hadhi kwa maana kwamba zilizopo Ni local huwezi kuapata saluni ya kunyoa na kuosha kichwa hapo hapo na zipo 3 tu.

KARIBUNI MUWEKEZE FELA MWANZA NIMEONA NITOE HILI NAIMANI KWA YULE ATAKAE KUJA KUWEKEZA KAMA ATAFANIKIWA KUAJIRI MTU BASI YAWEZEKANA AKANIAJIRI MIMI AU MWINGINE TAYARI ATAKUWA AMEOKOA . KARIBUNI SANA 0657623266
Kiwanja shingapi napata??
 
Mawakala wa bank wamejazana sana Kisesa yaani wamejazana balaa
Igihumbi anazungumzia habari za FELA. Kama sikosei, nadhani hapo Fela ndiyo kwenye Kambi kubwa ya ujenzi wa SGR, yaani treni iendayo kasi, kutoka Mwanza na kuelekea Isaka, Tabora na Dodoma. Nadhani ndiyo hivyo, niko tayari kukosolewa jamani. Hivyo kwa mantiki hiyo basi, ni kweli huduma site kama hiyo zinahitajika sana. Mtu hawezi kusafiri na vihela vyake aende Kisesa, ni mbali kutoka Fela au kila wakati mtu akitaka pesa aende mwendo mrefu, inachosha. Fursa hizo wenye pesa wekezeni hapo.
 
Back
Top Bottom