https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163
ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania...
I have been asking myself, why did we close our Petroleum refining company (TIPER) after seen this news from the daily news.
Modern oil refinery for Dar es Salaam
A FOUR-nation...
Nimewaza sana ndugu zangu imefika mahala nimeona niwashirikishe ili mnishauri
Katika pitapita kujifunza maisha kuna sehemu jikakuta andiko Ukiwekeza 100k kila mwezi kwa miaka 15 katika mifuko ya...
MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI.
Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:
📌...
Naomba ushauri.....kwa sasa mimi ni mwajiriwa ila niliwahi soma veta fani ICT . ila nataka kufungua ofis yangu ya ufundi computer, ufundi simu na kuuza accessories mbali mbali za mambo...
Habari wadau wa jukwaa hili.
Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni.
Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo...
Rafki mpendwa
Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk
Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua
Twende pamoja...
Habari za leo.
Katika maisha ya biashara Kuna Muda lazima ufanye mabadiliko .
Sasa nimekuwa na mawazo hasa mabadiliko nayotaka kuyafanya kwenye biashara yangu.
Ok Mimi ni muuzaji wa vifaa vya...
Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi ,
Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama
Mining Ofice management office
Spare Store Management Systerm
Loan Ofice Managenent System
POS...
Habari,
Naomba kufahamu kama kuna taasisi, kampuni, au mtu binafsi anayetoa mikopo kwa kutumia nyumba kama dhamana (collateral) bila hitaji la kuwa na leseni ya biashara au ofisi.
Nimejaribu...
Habari.
Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara...
Habari wadau.
Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie...
Biashara ya vipodozi ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi sana Tanzania kwa ujumla. Kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, ushawishi wa influencers, na uelewa wa self-care kumeongeza...
(USIPUUZE HILI) Watu wengi wanafungua bucha… lakini wengi wao wanakosea hatua moja muhimu sana ambayo inawafanya wafungiwe ghafla au kutozwa faini kubwa.
Biashara ya nyama sio tu kununua nyama na...
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko...
Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni...
Simu yangu ilileta shida kidogo nikaenda kwa fundi simu kunibadilishia system charge yangu ya Google pixel akanipiga 25,000/= nikasema nianze kumuuliza maswali mengi jamaa hakua na hiyana, kwanza...
nguvu ya fedha, na michezo ya umiliki wa makampuni
Watu wengi wakisikia neno Corporate Raider wanafikiri ni wezi wa kampuni. Hapana. Hawa si majambazi wa bunduki — ni watu au taasisi zinazotumia...