Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako
Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu...
Aliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao,
Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi,
Nataka kununua mahindi, niweke...
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)...
Mambo ya kufanya miezi 6 iliyobakia ili kufikia malengo yako
• Chukua uwajibikaji wa 100% juu ya maisha yako. Acha kabisa kujitetea na kulalamika.
• Tumia muda ukiwa peke yako, soma, andika na...
NATAFUTA VIWANDA VYA KUKAMUA MAFUTA YA ALIZETI NA SOYA (CRUDE OIL)
Natafuta viwanda vyenye uwezo mkubwa wa kukamua mafuta ghafi (Crude Oil) ya alizeti na soya kwa kiwango cha kibiashara...
Habari za muda huu wana jukwaa?
Mimi ni mjasiriamali mdogo naji husisha na biashara ya mvinyo halisi wa Dodoma.
Nina lita 3000 za mvinyo ninazo ziuza kwa bulk PURCHASES only
Mvinyo huu una umri...
Haya mambo ya biashara hayana kanuni inayoeleweka. Siku za karibuni kuna jamaa yangu kaanzisha biashara ya kuku wa kienyeji ila ufanyaji wake wa biashara ni wa kushangaza sana. Kwanza bei zake ni...
Kama wewe ni mfanya biashara, zalisha bidhaa mwenyewe au ongeza thamani kwa namna moja au nyingine au toa huduma ( services) na sio kufanya uchuuzi.uchuuzi ni ujinga haukupeleki popote. bora...
Mnamo Aprili 13, 2026, kampuni ya Orca Energy iliyoendesha vitalu vya gesi vya Songosongo kwa takribani miaka 25 ilitangaza kuwa imefikia uamuzi wa kuuza biashara yake ya gesi Tanzania kwa...
🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧
Unapata shida kujua tatizo la gari lako?
Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯
✅...
Wakuu, leo tarehe 04/06/2026 nimenunua maji ya Afya (Special) dukani. Kabla sijayatumia, niliyatikisa kidogo ili niyaangalie vizuri, na nilichokiona kilinishangaza.
Ndani ya maji kulikuwa na...
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.
1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii...
Jamani nimekuwa nikisikia malalamiko kuwa forex ni mchezo au scam bussiness ila kuna video nimeiona Utube katika pita pita ikizungumzwa na huyu bwana ambae ni afisa wa kampuni ya pepsi akitoa...
RE: OFFER FOR SALE OF PRIME COMMERCIAL PROPERTY LOCATED AT VICTORIA PLACE - TANZANITE PARK AREA, DAR ES SALAAM
I am writing in my capacity as a real estate agent acting on behalf of my client...
NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online.
1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo...