Vitu vya kuzingatia kama unataka kufungua kampuni

1. Muwe kuanzia watu watu wawili
2. Mtaji anzia ambao utautaja
3. Shughuli tarajiwa za kampuni(kwa kampuni za sheria na microfinance hazitakiwi kuchanganywa na shughuli nyinginezo)
4. Anuani za wanahisa
5. TIN za wanahisa
6. Anuani na mahali pa ofisi ya kampuni
7. Ada ya usajili wa kampuni.

NB: Ukihitaji kusajili kampuni karibu nikusaidie kwa gharama nafuu na ndani ya muda mfupi. Utapata kampuni yako ndani ya siku 3 tu.

0755963775 calls/WhatsApp
 
Kwa nini wanahitaji kuanzia watu wawili,
Kwanini wanahisa? Kwanini mtu mmoja hawezi kusimama peke yake!
 
Pia nimeona kuwa unaweza kusajili jina la biashara , naomba kuuliza masharti yake ni sawa na ya kufungua kampuni au hii ya jina la biashara ni tofauti kidogo
 
Utaratibu wa kusajili jina la biashara ni tofauti kidogo. Unahitaji;
1. Jina tarajiwa (hapa utasearch kwenye mfumo kwanza kujua kama hilo jina halijachukuliwa)
2. NIDA ya muhusika
3. Anuani ya makazi
4. Ada ya kusajili jina
5. Shughuli utakazokua ukifanya.

Kama unaweza fanya mwenyewe lakini kama huwezi karibu nikufanyie kwa gharama nafuu na haraka.
 
Kwa nini wanahitaji kuanzia watu wawili,
Kwanini wanahisa? Kwanini mtu mmoja hawezi kusimama peke yake!
Kwa kampuni ni takwa la kisheria kuwa na watu angalau wawili. Kwa majina ya biashara hata mmoja fresh tu
 
Utaratibu wa kusajili jina la biashara ni tofauti kidogo. Unahitaji;
1. Jina tarajiwa (hapa utasearch kwenye mfumo kwanza kujua kama hilo jina halijachukuliwa)
2. NIDA ya muhusika
3. Anuani ya makazi
4. Ada ya kusajili jina
5. Shughuli utakazokua ukifanya.

Kama unaweza fanya mwenyewe lakini kama huwezi karibu nikufanyie kwa gharama nafuu na haraka.
Je unaweza kuanza na jina halafu baadae biashara ukikua unaweza kuikoveti kwenda kampuni
 
Utaratibu wa kusajili jina la biashara ni tofauti kidogo. Unahitaji;
1. Jina tarajiwa (hapa utasearch kwenye mfumo kwanza kujua kama hilo jina halijachukuliwa)
2. NIDA ya muhusika
3. Anuani ya makazi
4. Ada ya kusajili jina
5. Shughuli utakazokua ukifanya.

Kama unaweza fanya mwenyewe lakini kama huwezi karibu nikufanyie kwa gharama nafuu na haraka.
Mkuu kuna Kampuni moja ilifunguliwa 2020 lkn haikuwahi fanya kazi yyte ilikuwa dormant but now inataka kurudi kwenye full operation haikuwa na TIN now tunahutaji TIN swali langu hv unaweza fanya online application ya tin !?
 
Ndio
 
Ndio mkuu inawezekana ila hapo ukue unadaiwa ada ya kila mwaka BRELA tangu mwaka uliofungua kampuni.
Kama utahitaji nikusaidie kuhusu upande wa BRELA laribu. Na kama kampuni ipo Dar ukahitaji TIN na tax clearance nayo pia nitakusaidia

0755963775 calls/WhatsApp
 
Kwann unafungua kampuni
Nina vitu karibia nane (biashara) ninavyokufikilia kufanya kimoja nimeshaanza mfano kampuni yangu itakuwa ina deal with agriculture ( kilimo na ufugaji )
Viwanda vidogo vidogo
Transport services
Health services
Tukirudi kwenye swali lako Kuna jamaa yangu aliniambia ukiwa na kampuni ni rahisi kuendesha Mambo yako but Sina ufahamu wowote kuhusu kampuni pia kwa kupitia threads za humu ndani nimejifunza kutokukurupuka unapohitaji kufungua kampuni
 
Back
Top Bottom