Leseni ya vileo pamoja na mahitaji mengine

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
386
Nawasalimu kwa lugha moja ndugu zangu.
Katika pilika za kusaka maisha nimefungua biashara yangu ndogo duka la mangi Ila changamoto inayonisumbua ni Hawa wakaguzi wa vileo mtaani.

Naombeni msaada jinsi ya kupata leseni moja itakayoniruhusu kuuza mahitaji pamoja na pombe hizi local kama diaondi, konyagi k vant nk

Mwenye kufahamu naomba aniambie na leseni hiyo ni Bei gani!

Natanguliza shukurani

Asanteni.
 
Back
Top Bottom