Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Critical Thinking ni kitendo cha kufikiri kwa kuzingatia mazingira au hali tofauti tofauti (different contexts) ili kufikia maamuzi yenye tija. Meneja wa Kampuni (Company Manager) anapaswa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mikopo tunayokopa benki hapa nchini Tanzania zina riba kubwa sana kitu ambacho hufanya watanzania wengi kutofaidika sana na mikopo hiyo. Kwani kuna benki hutoza riba zenye faida ya asilimia...
56 Reactions
221 Replies
47K Views
Habarini wanajamii forums, hope mko salama na haya mapumziko ya jumapili. Nimeona kuwa serikali yetu Ina Kodi na tozo mbalimbali, Kuna ambazo tunazijua na ambazo hatuzijui ila zipo. Kwa faida ya...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Nawasalimu wanajamvi habari zenu! naomba mwenye mawasiliano ya SIDO au kama wana account humu jf namba tuwasiliane nina jambo nahitaji ufafanuzi kutoka kwenu.
1 Reactions
2 Replies
658 Views
Hello nahitaji msaada juu ya kumiliki biashara ya internet service provider.... "Kwetu kijijini Kuna uhitaji mkubwa Sana wa internet Je ? Nifanye ili niweze kufungua iyo biashara.. nahitaji njia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia...
2 Reactions
1 Replies
603 Views
Vitu gani muhimu kuzingatia Kwenye biashara ya turubai?.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazoefu wa hii biashara ya vyombo vya nyumbani tunaomba mtupe madini kuhusiana na hii biashara, kuanzia mtaji, mahali bidhaa zinakopatikana kwa bei ya jumla, faida zake, changamoto za hii...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hebu fikiria Denis na Caroline wanataka kwenda jiji la Manchester kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal ili waweze kuenda inabidi walipie nauli ya ndege ambayo Itasaidia kufika kule na...
1 Reactions
2 Replies
473 Views
Watu wengi wanapo anzisha biashara huwa kuna baadhi ya mambo wanazingatia mfano; -wateja -Gharama za uendeshaji -jinsi ya kukuza thamani ya bidhaa katika biashara n.k # Lakini husahau kitu cha...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Biashara zina sababu nyingi kufa ila kwa tafiti zangu kuangalia biashara zilizokufa ni hizi. Wengi tunafanya biashara ila kuna vitu vinatufanya mpaka biashara inakufa kabisa kabisa na ulikuwa na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini za mchana wadau, natumai mpo salama mkiendelea kutimiza majukumu yenu ya kila siku. Niliwahi kuja na wazo biashara siku zilizopita. Biashara ya M-pesa, nashukuru kwani nilipata michango...
4 Reactions
37 Replies
64K Views
Kuna jambo la kustaajabisha sana kuhusiana ya mikopo, mara nyingi mikopo hailipwi kwa sababu zisizoeleweka na imepelekea baadhi ya watu kuona kuwa mikopo ni matatizo katika maisha yao huku wengine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Naombeni msaada au mwongozo tafadhali , mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Juzi nikiwa mlimani city nikashangaa nyomi ya watu wakikimbilia Shoprite supermarket kuuliza kulikon nikaambiwa kuna ofa (nusu bei, 50% OFF) nami nikachoma ndani kuwahi ofa ile kuingia tu mbinde...
7 Reactions
31 Replies
8K Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa tanzania Jamani kwa wafanyabiashara au wenye makampuni au mtu binafsi aliopo dar ambae anahitaji patner aliopo mwanza wa kufanya nae biashara nipo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na Ongezeko kubwa la maradhi hapa Duniani, kumekuwa na Ongezeko kubwa Sana la Elimu ya Tiba Lishe, na baadhi ya vyakula sahihi kwa maisha ya Binadamu! Kifupi watu wengi Sana wamekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Habarini Wana jf. Kama hapo juu nilivyoanza kueleza nathubutu kusema Uchumi wa Tanzania uko mashakani sana zaidi ya watu wengi wanavyoona na kudhania. Hali ni tete na mbaya sana,watu wameweka...
1 Reactions
7 Replies
556 Views
Ni kijana ambae hapo nyuma amepata kufanikiwa kwa haraka sana na kuishi maisha ya juu sana na kukiri kuwa na uwezo wa kutengengeneza takribani milioni 9 kila wiki, Ilifikia kipindi akanunua gari...
29 Reactions
637 Replies
113K Views
Back
Top Bottom