Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za humu Great Thinkers! Naomba kupata elimu juu ya biashara ya vifaa vya umeme kwa mtu mwenye mtaji mdogo wa angalau milioni 4. Nitafurahi ikiwa nitaelimishwa juu ya muundo wa duka...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika ,kama itawapendeza madereva na wahitaji wa huduma za usafirishaji wa mizigo mbalimbali ndani na nnje ya Tanzania, mjaribu kutaja/ ku...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi. Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu. Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii? Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakubwa habari za majukum. Kumekuwa na mgogoro mkubwa kwa majirani zangu ambao wanagombania mti wa mnazi mkubwa ambao ulikua unauwezo wa kuzalisha nazi. Jirani mmoja kati yao akaamua kuukata huo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanini biashara inakuwa nafasi ya pili? Baada ya mtu kufeli katika kazi au chochote ndo anafikiria kufanya biashara, nahisi ndomaana wengi pia wakiingia kwenye biashara wakikutana na changamoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya leo Jumapili, Natumaini tuko sawa wote, wenye changamoto zozote poleni sana. Natafuta mashine ya kukatia viazi, kwa ajili ya kutengeneza Crips. Ningependa kujua bei, na inapopatikana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa utafiti wa iconic world Tanzania hakuna kabila kwenye top 10 ya Africa.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Huu uzi maalumu kwa forex traders wapambanaji wote wanaotrade forex market lengo ni kushare ideas mbali mbali na kushtuana kwenye setup za nguvu[emoji123] Kama huusiki na hii biashara usichangie...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer. Mimi; unafanya biashara gani teacher...?? Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara. Mimi; Kwanini...?? Lecturer...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu hivi hapa iringa mjini ukiwa na camera unanza vipi harakati? Kwa wageni? I mean connection
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Mkuu, Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious? Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Hapa nimepiga swali, Kule online wanadai nisiwe mwoga nitalipwa hiyo 800 kila siku. Sasa shida yangu je hiyo 20 Inaenda wapi? Kwanini nisitangaze biashara zao bila kuweka 20? Wakuu nimekuja huku...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna kitu sijakielewa hapa, au hakipo sawaaa, ukitaka kuanzisha biashara lazima ufuate utaratibu wa kisheria mfano lazima uwe na tin na lesseni ya biashara husika, embu fikiria unataka kuanzisha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Nahitaji kufahamu soko la bidhaa ya dagaa nyama lipoje hasa maeneo ya Dar, na labda vizuri pia anayejua wanapopatikana zaidi kwa ujumla.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu tupo na shule yetu inaitwa WILLIAM BRANHAM PRE AND PRIMARY SCHOOL ipo Mbeya - Mkoa wa Songwe Tunduma tupo kwenye mikakati ya kuifanya iwe international school. Naombeni...
1 Reactions
6 Replies
914 Views
Habari ya siku ya leo; Ni muda mrefu tangu nilipoandika makala yangu ya mwisho katika jukwaa hili ambalo nimelichagua kama sehemu ya mchango wangu kwa jamii yetu.Ninaamini kwamba pamoja na kwamba...
1 Reactions
1 Replies
649 Views
Wakuu nafikiria ni biashara gani unaweza ifanya shuleni yaani ikawa inajulikana na wanafunzi na walimu wao Mfano sku hz wanafunz wanapewa uji shulen kuna mama mmoja nlimuona shule moja ya...
1 Reactions
1 Replies
976 Views
Habari Wadau! Naomba ushauri wenu ipi ni faida ya mtu anayefanya kazi ya kuuza duka la decoration za nyumbani( ikumbukwe duka sio lake isipokuwa ameajiriwa kuuza vifaa kwenye duka hilo)...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom