Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nilipojua kua sijui yangu ilikua katika biashara ya nafaka Ilikua mwaka 2011 baada ya kufanya vibarua vya hapa na pale nikawa nimesave pesa kiasi cha tsh 750,000 nilikua na shauku sana ya...
66 Reactions
120 Replies
23K Views
Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni 1. Weka Trading Plan 2. Acha Tamaa ya kutaka...
4 Reactions
95 Replies
10K Views
Lengo la Uzi huu ni kutoa kasoro kwa baadhi ya mapungufu machache kati ya mengi niliyoyaona CRDB- Dodoma. Haya nimeyaona hususani katika matawi ya Mazengo na Chamwino yote yaliyo Jiji la Dodoma...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, kutokana na hamasa niliyoipata hapa jf nikaamua niende UTT AMIS pale sukari house, kupata maelekezo na kuwekeza... Ila kila swali nililokua nauliza naona nnajibiwa kama...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
[emoji271]Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki. [emoji271]Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti. [emoji271]Pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jameni wana JF Wazima?? Naomba muongozo kwa watu wanaouza mapochi ya jumla sio reja reja nitawapataje kama upo serious unataka kunisaidia kuniunganisha nao please ni inbox mie sitaki za mitumba...
2 Reactions
13 Replies
630 Views
Ni brand ya hp ram 8, hdd 750, processor ya 2.5 up to 2.7..bei ni tsh. 520,000( maongezi yapo). Ni used in a good condition, haina functionality problem ya aina yeyote ile..little scratch kwa...
0 Reactions
7 Replies
781 Views
Habari wanajamvi? Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu. Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka...
11 Reactions
32 Replies
17K Views
Nimeunga kifurushi halafu sms haziendi siku ya pili leo. Muda unaenda, nani atafidia hasara hii? Au mmelewa mafanikio?
1 Reactions
1 Replies
424 Views
1. Wanaazima CREDIBILITY Kutoka Kwenye Baadhi ya Medias Zenye AUTHORITY (Tv,s, Radios nk). 2. Wanatafuta SOCIAL PROOFS za Kwamba Hii business Model inafanya Kazi (Wana-Clear SCAPTISMS). 3)...
9 Reactions
8 Replies
2K Views
Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa. Unajua...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimejaribu kuchunguza uhitaji wa nazi ndani ya jiji la Dar es Salaam,nataka nianze kuuza nazi kwa kufanya uchuuzi toka Pwani kuleta Dar na kuuza kwa wauzaji wa reja reja, naomba...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kama umeshajaribu kutangaza biashara, bidhaa au huduma unazotoa kwenyemtandao wa Facebook bila ya kupatawateja wengi basi nisikilize kwa makini sana kwani katika makala hii nitakuonyesha njia...
4 Reactions
8 Replies
5K Views
kwanza napenda niweke wazi kwamba Mimi ni mmoja kati watanzania wanaoingiza bidhaa mbalimbali kutoka China na Marekani(USA) yaani (importers). Naamini wengi tunajua kuwa wafanyabiashara wengi...
0 Reactions
42 Replies
11K Views
Habari za kazi wapendwa wote wana JF. Ninaamini hapa kuna wazoefu wengi wa masuala ya biashara au Idea yoyote ya HARDWARE.Ninampango wa kuanzisha biashara hii ya hardware(vifaa vya ujenzi na...
1 Reactions
66 Replies
18K Views
Siri 3 Usizozijua za Social Media Marketing[emoji33] Je,Unatamani Kufanikiwa Ktk Kutangaza na Kuikuza Biashara yako Mtandaoni? Basi Tumia Siri hizi 3 ambazo Wafanya Biashara wengi Wanazipuuzia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Naomba ushauri wenu nina mataji wa Milion 2 nataka kuanzisha duka dogo la vipozi kwenye hiyo million 2 ndo itagaramikia vifuatavyo-: Eneo la biashara Kodi ya frame kwa miez6 Shelf...
1 Reactions
9 Replies
13K Views
Salaam wakuu Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi. Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili. Kama Kuna mtu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi unakumbuka ulivyokuwa mdogo ndoto yako ilikuwa ipi....?? Kumbuka ulivyokuwa mdogo ulikuwa unamwambia mama au baba nikiwa mkubwa nataka kuwa DR au Mwanajeshi au Mwanasiasa au Mwandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Hivi wadau anaeweza kunisaidia miti ya mbao Hadi kuvunwa huchukua muda gani
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom