Miliki duka kwa malengo

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
386
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada

Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia

1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa

UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji

Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata

JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI

1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,

Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida

Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=

NOTE,
Kamwe usichanganye mapenzi na kazi yako utaharibu utashindwa kusimama kwenye misimamo yako kama boss au mtoa huduma kwa wateja wako

Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,

Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart
Usikae muda mrefu bila kuchunguza mwenendo wa biashara yako hasa kupiga stock

Nimeambatanisha namna ya kuchora daftari lako na namna ya kuingiza data zako

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
JPEG_20230122_233701_1494257231610512643.jpg

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile appView attachment 2491990

Je hii ni stock ya bidhaa zilizouzwa au ambazo ziko dukani?
 
kwa wastani unatakiwa uwe na kiasi gan(mtaji)ili kuanzisha duka ambalo ni la kawaida tu...natanguliza shukrani
Kiukweli swala la mtaji kwenye biashara ya duka inatofautiana,
Kwa sababu kuu 3
1 mazingira /aina ya bidhaa unazoanza nazo kulingana na uhitaji wa watu wa eneo lako
2 unataka uanze na duka la ukubwa gani
3lengo lako/matarajio yako kwenye hiyo biashara:
Kuna sehemu ukitaka kufungua duka lazima uwe na mtaji mkubwa kwa kuwa kusudio lako ni kuuza vitu vikubwa,
Mfano
Soya sauce aina zote
Vioungo vinginevyo vya chakula mfano paprika, oregano, masala zote, ajinamoto, cheese, aina zote, mafuta ya kula aina zote na saiz zote mfano kcc Olive oil prestige blueband nk

Mama sita,vinegar aina zote, foil aina zote,
Vinywaji aina zote na saiz zote
Masabuni aina zote
Mafuta yakujipaka saiz zote

Kwa hiyo unaweza kuona aina ya duka Hilo lazima liwe na mtaji mkubwa

Lkn duka linginelo la kawaida halina mambo hayo yote, baadhi tu

Kwa hiyo hiyo ndio tofauti

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada

Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia

1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa

UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji

Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata

JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI

1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,

Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida

Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=

NOTE,
Kamwe usichanganye mapenzi na kazi yako utaharibu utashindwa kusimama kwenye misimamo yako kama boss au mtoa huduma kwa wateja wako

Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,

Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart
Usikae muda mrefu bila kuchunguza mwenendo wa biashara yako hasa kupiga stock

Nimeambatanisha namna ya kuchora daftari lako na namna ya kuingiza data zako

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile appView attachment 2491990

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Unalipia manispaa nini?
 
Great natumai wamepata muuongozo
 
Jambo jema sana umefanya.
 
Asante kwa baadhi ya madini ya hii biashara

Mwezi wa nne nafikiria kuifanya maana nimeona ni biashara inayoweza kunisaidia kama inshu zangu zingine zikiwa zimedorola

Kilichonivuta kwenye hii biashara kwanza ni kuwa kwa jinsi navyoiona haina cha hali mbaya kila siku lazima uuze maana ni mahitaji ya muhimu ya nyumban kwahyo lazima uuze,pili nimekuwa nikiwatazama watu mbalimbali tena wababa wazima na wako na familia zao tena wana kiduka kidogo na kila siku anashinda hapo lakini anaendesha maisha vizur tu nahis hii biashara inalipa ukiweka nidhamu
 
Asante kwa Madini haya muhimu sana. Mimi panapo majaliwa yake Mwenyezi Mungu nafungua 01 February mwaka huu. Samahani sana eneo limechangamka(kiasi) muda wa asubuhi na jioni . Wakazi wake ni watu wakipato Cha chini(wengi) na Kati(wachache).
Tafadhali sana kwa Uzoefu wako ni bidhaaa gani zinatoka sana na piga ua lazima uwe nazo. TAFADHALI SANA MSAADA WAKO MUHIMU
 
Mafuta ya kupikia
Tambi
Sukar
Chumvi
Vibirit
Sabuni za mche na kuogea
Dawa za mswaki colgate whitedent
Sabun za unga
Blueband/prestige
Mchele
Unga
Ngani
Maji
Juice
Miswak
Toilepaper
Biskut
Maziwa
Dawa za mbu kupuliza
Mayai
Tissue
Madaftar/pen/pencel
Tissue
Nk
 
Back
Top Bottom