Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu...
Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya...
Leo tawi hapa, kesho tawi pale, mkoa huu, wilaya ile. Kwa mwendo huu, ukirusha jiwe linaweza kuangukia tawi la Azania.
Hongereni Benki ya Azania, mwendo ni kasi kweli!
Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao...
Waingizaji wa mizigo kutoka nje ya nchi tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kuchelewa kwa mfumo wa TBS kutoa Control Number.
Kwa mfano, ombi langu liliwasilishwa tangu Jumatano...
Kwa wenye uzoefu wa biashara tu.
Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena
Siku moja anza biashara fulani usikilizie kama mapapa wa biashara hiyo...
SIFA ZAKE:
HP E Lite Book
Internal Hard Disk storage: GB 500
RAM storage: 8GB
Processor: 1.50GHZ
Price Tsh 195,000/=
Mawasiliano: 0798434285
🚫 Battery yake imeshakufa hivyo kutumia ni mpaka...
KERO YANGU KUHUSU HUDUMA ZA BRELA – IDARA YA USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA
Niliwasilisha ombi la usajili wa jina la biashara kupitia mfumo wa BRELA kwa kujaza fomu pamoja na viambatisho vyote...
Wadau Salaam!
Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM...
Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara nilipangishwa na manispaa ya musoma tangu mwaka 2018. Tumekua tukifanya shughuli zetu na kolipa kodi stahiki bila shida hadi ilipofika mwaka 2023 changamoto za...
INTRODUCTION.
Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund..
Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government...
Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yamewezesha kufanyika kwa mauzo ya papo kwa papo yenye thamani ya shilingi bilioni 3.9 huku zaidi ya asilimia 61 ya waoneshaji wakipata...
Wanaharakati wa mazingira nchini Kenya wametoa wito kusitishwa kwa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha bilionea Aliko Dangote, kwa madai kinaweza kuhatarisha mazingira.
Mradi huo wenye...
Sisi wakazi wa Kijiji cha Patamela, Kata ya Saza, Wilaya ya Songwe, Mkoa wa Songwe tuna changamoto kuhusu mwekezaji ayetambulika kwa jina la Mathayo, ni kuhusu kumiliki eneo kubwa la uchimbaji...
Biashara kuuza genge ni biashara moja nzuri sana. Kinachofanya watu wengi wasifanikiwe ni ile kuwekeza mtaji mdogo sana.
Imagine mtu anaanzisha biashara ya genge kwa mtaji wa elfu 80 sasa mtu...
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?
Zaidi...
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe...