Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Wakuu habari ya muda huu, naombeni ushauri juu ya haya maeneo.nimepata viwanja viwili pande zote mbili vipo sawa kwa vipimo yani 30*40 na bei kote ni 6m cha kiluvya kipo kwa komba na chanika kipo...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mkipenda msome 4IR Token. The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa Karibuni
0 Reactions
3 Replies
594 Views
Habari wana JF, Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi Mfano:- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi...
11 Reactions
103 Replies
10K Views
Lengo ni msingi muhimu katika kufikia malengo yetu. Bila lengo, ni vigumu sana kuamua hatua za kuchukua na njia ya kufuata ili kufikia mafanikio. Lengo linatupa mwelekeo na jinsi ya kushirikisha...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nauliza nauli ya kwenda china kwa Sasa ni dollar ngap go and return...na vip sasa hivi ni mpaka uwe uchanjwa chanjo uvico19 ndo unaruhusiwa kuongia china
4 Reactions
49 Replies
8K Views
Wadau Nina fremu,nahitaji kuanzisha biashara ya duka la nguo,jinsi za kike na kiume,kadets,mashati,tishets,boxers,chupi na vinavyofanana na hivyo.....je Ni rangi ipi inafaa kwenye kupaka hiyo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Miti ipo Suma Katumba Rungwe Mbeya. Leta hela jichukulie miti, ni minene inafaa kwa ujenzi wa aina yoyote. Ipo barabarani kabisa ukifika Suma Secondary ni hapohapo barabarani shamba lilipo. Kama...
2 Reactions
5 Replies
874 Views
KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC) CHAAGIZWA KUKAMILISHA DIRISHA LA KIELETRONIKI LA UWEKEZAJI (TeIW) Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameagiza Kituo Cha...
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Wadau kama kichwa kinavo jieleza apo juu.Ivi ni mchongo gan mtu unaweza wekeza kwa kutumia knowledge tu.Na ukawa unakutengenezea pesa bila ata kuhitaji kias kingi cha pesa kama mtaji.Au pacwepo na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani...
25 Reactions
102 Replies
8K Views
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jamvi Poleni kwa shughuli nzito ya kujenga taifa Naomba kujulishwa kuhusiana na mitumba kwa mnyumbuliko huu Baro la mashati grade 1: a)bei b)kg c)piece zinakaa ngapi/ yaani...
0 Reactions
8 Replies
672 Views
Haiwekani mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi, nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango, nikasheleta mnaniambia nilipe 10% ya Kodi niliyolipa kwa mwaka halafu mimi...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
Habarini, Leo ndugu yangu kaingia cha kike baada ya kuchelewa basi la Newforce kutoka Dar kwenda Sumbawanga na kupanda basi la Majinjah special. Alikata tiketi ya Newforce siku 2 kabla leo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niko morogogoro Bei ni 400000
1 Reactions
0 Replies
234 Views
Hello waungwana, Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukiacha ualimu wangu wa Serikalini, hii ndo hobby yangu. Faida ya kuwa master kucha: 1) Uhakika wa kula ni nje nje, kulala njaa utake mwenyewe 2) Uhakika wa constant flow of income ni 100% 3)...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu, Kwa wafanyabiashara wanaotumia efd machine kuna ulazima wa kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu kwa siku husika?
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…