Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Peace JF Masssive 🤜🏾 Kipindi hiki cha covid 19 watu wengi sana wamekuwa wakitatufa njia zakuingiza side income angali wakiwa home. Na niseme tu baada ya kuandika uzi huu Watu wangi...
7 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari wana JamiiForums, Mimi ninahitaji sehemu ya uhakika ambapo nitakuwa na uhakika wa kupata Mercury nyeupe kwa ajili ya matumizi ya machimboni kutumika kwenye dhahabu. Nimejaribu kufuatilia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wapenzi, Nina mtihani nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo .. Naombeni mawazo yenu. Nini kinaingia ndani ya hiyo budget...
7 Reactions
74 Replies
4K Views
TRA
ENDAPO MTU AMEFUNGA BIASHARA MASHINE YA EFD ANAIPELEKA WAPI
0 Reactions
1 Replies
413 Views
Wajumbe samahan.Naomba kwa yeyote mwenye mawasiliano ya wakala wa Tairi za MRF 400.8 za Bajaji anitumie tafadhali. #Natanguliza shukrani 0622 228 904/0768 228 904
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya...
6 Reactions
2 Replies
7K Views
Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini. Na hivo vifaa navipata kwa bei gan. Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Natafuta location nzuri kwaajili ya kufungua biashara ya hardware hasa pembezoni mwa mji ambapo bado ujenzi unaendelea. Itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Dar au Pwani. Ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wakuu naulizia yoyote anaewafahamu wauzaji wabaiskel used Toka japani hizi mtumba za zakawaida zinatumika zaid mikoani..nahitaji kuwajua masupplier wanaouza Bei ndogo na baiskel nzur zaid
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji. Hii...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante
3 Reactions
3 Replies
1K Views
MBUNGE KAINJA ATOA MILIONI 81 KWA WANAWAKE (UWT) KUWAWEZESHA KIUCHUMI KATIKA MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ametoa fedha kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni miongoni mwa watu wanaojaribu vitu vingi sana, Naamini katika so called risk taking. Kuna mwana Jamii Forums humu alikuja na wazo, nilipoliangalia nikaona kama linawork, nikampigia simu...
25 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Natumai hamjambo nyote Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei...
4 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari JF Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu, leo hii nimeamua kuwasaidia wanafunzi wenzangu kwa kuwapa mpango mzuri wa biashara. Usishangae sana, uzuri? Wa mpango huu wa biashara unaweza kuanza...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Anayejua machimbo ya viatu vya kiume na sendo kariakoo msaada tafadhari!
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023. The 10 richest...
14 Reactions
56 Replies
9K Views
Mambo vp wakuu... Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coaster au hiace.. Nilikuwa na kama 20Ml nahitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za...
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Salaam jaman. #Ninashida na Agent wa tairi za MRF za bajaji.Aliyepo dar,kwa anaejua tafadhali msaada kupata mawasiliano yake. 0768 228 904/0622 228 904.WhatsApp/Call
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Back
Top Bottom