Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wapendwa habari zenu, Naomba kuuliza kwa mtu ambae alikata TIN ya biashara lakini hakuanza hiyo biashara na Tin alipewa, sasa ni miaka miwili hakurudi, Je hiyo kuifufua Tin haina shida na hakuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimeona sio mbaya ukiwepo uzi ambapo E-commerce kama biashara nyingine, inaongelewa kwa kina kidogo. Tuulizane maswali, tupeane ma experience, changamoto, takes, nk. [emoji362]...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
MBUNGE JULIANA SHONZA AFYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA IFWEKENYA WILAYA YA SONGWE KUELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Mara nyingi nayaona yakiwa barabarani yakiwa either yanaenda au yanarudi toka nje ya nchi. Ningependa kujua yafuatayo; 1. How profitable is it? 2. Kupeleka mzigo nje ya nchi mf Congo kampuni...
4 Reactions
94 Replies
29K Views
Hello Wana jf ukiwa na mtaji wa laki 4 biashara Gani unaweza fanya Sehemu nilipo ni mkoani, mzunguko wa watu na pesa upo,fursa za biashara ni nyingi ni mtaji wako tu.... Mimi binafsi nilikua...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiliamali naomba kusaidiwa mwenye kujua mahala ambapo naweza kupata wauzaji wa lollipops mold zinatumika kutengeneza pipi za vijiti.
1 Reactions
7 Replies
605 Views
Salaam kwenu wakuu, ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Nzega ambapo ameendelea kutoa fedha za miradi mbalimbali yenye thamani ya Shilingi...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through...
3 Reactions
0 Replies
766 Views
Habari wadau. Napenda kujuaa majina ya Vituo vya radio vinavyosikilizwa sana Mikoani na vinafaa kutuma matangazo. Mikoa ninayoitarget ni hii 1. Morogoro 2. Tanga 3. Moshi 4. Arusha 5. Babati 6...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalam wakuu wa jukwaa hili pendwa, Mbele yenu ni kijana mchakalikaji na mpambanaji pia, sichagui cha kufanya. Naombeni mawazo wenyeji wa maeneo husika hapo juu ila hata nje ya hapo napokea...
0 Reactions
2 Replies
607 Views
HATUA NNE (04) ZA KIMKATABA UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM 1. Makubaliano ya ushirikiano kati ya Tanzania 🇹🇿 na Dubai - Makubaliano tayari yamesainiwa na kupitishwa na Bunge la Tanzania kwa...
1 Reactions
2 Replies
667 Views
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WA KATA 35 ZA WILAYA YA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Kata...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Mfumo wa mauzo kwa hapa nikielezea zaidi mauzo360 una faida kadhaa kwa biashara na mfanya biashara. Hapa chini ni baadhi ya faida za kutumia mfumo wa POS: 1. Usimamizi bora wa hesabu: POS...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama wewe ni mfanya biashara, utakubaliana na mimi kua nyakati zinabadilika. Wakati teknolojia inaongezeka ni jukumu la mfanya biashara kujua teknolojia hii itamsaidiaje kurahisisha shughuli zake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa? Natumai mko salama na buheri wa afya. Leo nataka tujifunze kitu kwenye biashara. Mabosi wengi huibiwa na wafanyakazi bila kujua, na wasijue nini chakufanya. Kazi inakua...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuuu nahitaji kufanya biashara ya kuuza vifaaa vya umeme duka la umeme ila mtaji wangu kma 13mil kuna washikaji wanasema ni ndogo ila kuna wanangu wengine wansema hyo ni nyingi sana kma nitakuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ameendelea kuwafikia Wajasiriamali Mkoani Shinyanga ambapo leo ilikuwa zamu ya Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga kupatiwa msaada wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa. Kuna hizi bidhaa hapa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu, naombeni ushauri, mawazo na msaada wa kupata soko kwenye biashara ya mchele. Natoa mchele wilaya mpya ya songwe, mchele ni mzuri sana. Aliye na uhitaji nao tufanye biashara wakuu...
1 Reactions
33 Replies
14K Views
Back
Top Bottom