Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau kichwa cha habari kinajieleza. Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani ===== Hongera boss kwa mtazamo huo chanya.... Ila naomba fikiria huu msemo wa WARREN...
2 Reactions
35 Replies
13K Views
Kama heading inavyosema kununua bidhaa kwenye duka la mbongo msawahili kabsa mweusi tiiiiiiiiii ni shida sana atajifamya kukupa guarantee ya mwaka au miaka 2 au miezi sita halafu bidhaa ikileta...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
…Haya ni Maneno ya Mzee… . “Juma Swalehe” . NA… . …Hii ilikuwa ni Tarehe 15/06 Siku ya Alhamisi Mida ya… . Saa 2 na DKK 5 Usiku! . Maeneo ya Barakuda, Mzimbu… . (Morogoro)! . …nilikuwa Nimeenda...
6 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari zenu, Tanzania ni kubwa na tuna mikoa mengi lakini ni mikoa gani mnahisi ni nzuri kwa ajili ya kujenga apartments kwa kukodisha. Namaanisha mikoa yenye good return in investment. Asanteni
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za sahizi wana jamii forum Nilikuwa nataka kufanya biashara ya mabegi ya mkono mmoja ya wanaume, mwenye uzoefu nawaomba mnishauri kuhusu hii biashara, napatikana Dodoma.
3 Reactions
1 Replies
660 Views
https://www.sunranch.vip/#/pages/register/register?code=27836 Jisajili hapo juu Bei ya bata ni Tsh 25000, utapata 1000 kila siku, na mapato ya jumla ni 60000 ( halali kwa siku 60) Bei ya sungura...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Wenye maduka nawaombeni msaada wenu. Nimeajiriwa lakini nina biashara za pembeni likiwemo duka ambalo nimemweka binti, mshahara wake ni laki 1 pamoja na elf 4 ya kila siku (chakula, nauli, choo)...
1 Reactions
12 Replies
981 Views
Hello, Naomba kwa anaejua biashara ya vanilla, naitaji soko. Naombeni msaada wenu [emoji120] please.
0 Reactions
5 Replies
544 Views
Samahani wakuu mimi ni kijana na umri wangu ni miaka 27 muhitimu wa degree. Nilikua nafanya kazi kwenye kampuni japo kwa muda huu imesimama, nilifanya saving zangu nikafikisha miliioni 4.5...
4 Reactions
14 Replies
966 Views
Nina ndugu yangu katokea mbeya kaja apa mjini dar anasema mbeya mji wa wafanya kazi maana ajaona fulsa yoyote,kama unavyo jua mbeya hata kwa buku mbili unaishi siku mzima,sasa yeye ni dereva wa...
3 Reactions
9 Replies
658 Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Hivi Kwa mtandao kama ebay, Alibaba, Amazon. Tunaweza kufanya hii kitu?.
1 Reactions
9 Replies
695 Views
Mimi ni mfanyabiashara wa kawaida elimu ya kawaida sana. Nahitaji msomi mwenye shahada ya chuo kikuu business administration ili nisonge mbele kwa biashara zangu na ushauri. Aliye tayari anitafute...
3 Reactions
5 Replies
492 Views
Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma. Soko lake vipi lina upinzani mkubwa? Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu...
0 Reactions
471 Replies
195K Views
…Miaka ya 70’s Nchini Marekani… . Katika Chuo Kikuu cha…“Harvard” . (Harvard University) . …walikwepo Vijana wawili Wadogo waliojulikana Kama… . “Bill na Paul” . Walikuwa ni Vijana wa kawaida...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wiki? Baada ya kudunduliza kwa muda nimefanikiwa kupata mtaji wa kufanya biashara ya kukodisha majenereta. Ni mambo gani muhimu ninatakiwa nizingatie ili nisije kujifunza the hard way...
0 Reactions
1 Replies
615 Views
TANESCO wanatengeneza mazingira ya rushwa ili wakuhudumie, imagine watu walishalipia pesa kitambo ili waunganishiwe umeme lakini wanazungushwa kila siku na hakuna kazi ya maana sana wanayoifanya...
2 Reactions
4 Replies
370 Views
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB. ====== Wasalaam Jf team, Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni " Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na...
49 Reactions
409 Replies
24K Views
Habarini members wenzangu, Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3! Nakaribisha mawazo yenu!
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…