Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Baada ya mwaka kukamilika tangu mfuko huu kuanzishwa na bei ikiwa 100 tu kwa kipande enzi hizo, hii leo 2024 kipande kinauzwa kwa tsh 111. Hii ina maana kwa mtu aliyeweka 50mil wakati huo leo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia. Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked. Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana...
23 Reactions
115 Replies
6K Views
Habarini wadau. Nimejaribu sana kutafuta mtandaoni namna ya kuyapata, ila sijapata uelekeo. Kwa mwenye kujua namna naweza kuyapata anisaidie. Ninahitaji kiasi kama lita moja tu, kwa matumizi...
1 Reactions
5 Replies
439 Views
Poleni na majukumu wana fj, Ninashamba ekali 3 za hiyo miti ina umri wa mika 11 natafuta wateja wa bidhaaa hiyo shamba lipo maeneo ya mbeya kiwila kilometer 20 kutoka kiwila idadi ya miti ni zaidi...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Original TWS Earbuds Genuine Assured [emoji736] Bluetooth Version 5[emoji736] High Capacity Long Endurance 4-5 hrs New Type-C Interface Very Soft & Comfortable Tsh 40,000/= [emoji403] Free...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Habari wanajamii forums, habari wajasiriamali. Nafungua uzi huu ili kuleta pamoja wadau sisi wenye maswali kuhusiana na biashara ya mgahawa ama biashara ya chakula, na kuleta pamoja wale wenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maduka ya rejareja yanayouza vitu vinavyonunulika kwa haraka(Fast moving consumable goodsi.e sukar, ngano, sembe&N.k hua ni mengi sana mitaani tunamoishi na yamekaribiana yahitaji akili & mbinu...
21 Reactions
25 Replies
13K Views
Habari za asubuhi mabibi na Mabwana, Naendelea na uchunguzi sehemu mbali mbali unaweza ukafanya nini kwenye vijiji vyetu vilivyobarikiwa na Mungu wakati sisi vijana woote tunataka tuishi mjini...
17 Reactions
126 Replies
26K Views
Habari wapendwa, nilikuwa nahitaji msaada mwenye kujua hii biashara ya kuuza pumba na chakula cha kuku imekaaje faida zake na mtu anatakiwa awe na mtaji wa kuanzia ngapi, na gharama zake gunia la...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Vifungashio vya plastic vimekatazazwa. Sasa wakuu, niko na plan ya kuanzisha biashara ya kuuza dagaa mchele. Nilitaka niwahifadhi kwenye kifungashio ambacho kitakuwa cheupe Cha kuweza kuonyesha...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, mimi nipo mkoani na nafanya biashara kuuza/kubadilisha mitungi ya gesi, nina mpango wa kuanza kuuza bana za Gesi kwa bei nafuu ili niendane na ushindani wa wa sasa, maana kwa sasa nazipata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wazo la kukopa trekta HP 50 kulima mashamba yako kukodisha Mara chache ili upate mafuta.Kulima heka 600 yaani eka 20 kwa siku. Mazao ni yale yasiyo na changamoto nyingi mfano kunde...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Tatizo nini mpaka sisi TZ [emoji1241] atujaingia kwenye orodha ndefu hii.. [emoji848] Njoo na jibu..[emoji116][emoji116][emoji125]
1 Reactions
2 Replies
467 Views
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari Wana JF Nina dogo langu ana biashara ya Mangi inatakribani miaka miwili na nusu. Alianza mwaka 2021 July kwa mauzo hafifu sana lakini alijipa muda sana mwisho wa Siku Sasa hivi ana uwezo...
0 Reactions
4 Replies
691 Views
Wakuu nimekwama hapa ki mawazo nilikua naomba ufafanuzi. Nilikuwa nasoma uzi mmoja humu unaoelezea mtu anaetaka kufungua microfinance wakati wa usajili sharti jina la biashara liwe na neno...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naulizia erectile creams/sprays hizi nilizoweka kwenye picha zinapatikana wapi kwa hapa Dar. Mwenye uelewa anipe jibu hapa jukwaani au PM.
0 Reactions
5 Replies
628 Views
Mie ni mfanyakazi katika Company X Kutokana na kuhamishwa mikoa mbalix2 ki kazi... Kwa sasa naitaji kusettle Sehemu Moja na familia yangu. Wakuu naomba ushauri wenu Kati ya Dar(nina nyumba)...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo! Cha ajabu...
66 Reactions
406 Replies
42K Views
10 African countries with the weakest currencies in 2024. 1. São Tomé and Príncipe 22,281.8/$Dobra (STD) 2. Sierra Leone 19678.65/$Leone (SLL) 3. Guinea 8,583.4/$Guinean Franc (GNF) 4...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…