Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
4,141
Points
2,000
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
4,141 2,000
Habari za Asubuhi mabibi na Mabwana..

Naendelea na uchunguzi sehemu mbali mbali unaweza ukafanya nini kwenye vijiji vyetu vilivyobarikiwa na Mungu wakati sisi vijana woote tunataka tuishi mjini huku tukiendesha mikoko mikali

Ni hivi

Huku bwana ni wakati wa mavuno, aseee watu wanapiga pesaa balaaa, hiki kijiji masemi hayakauki si kubeba mpunga(gunia limepanda hadi 50,000), mahindi nayo yanabebwa si utani, yaani Wasukuma wana pesa chafu sahivi, ikifika jioni ni ngomaa tu mpaka asubuji wanaenda kunywa supu

Ufuta, ufuta ufuta hapa ndio funga kazi, mazee unafatwa shambani kwako au store kwako wazee wanataka ufuta, kuna mazee mmoja yeye anauza 260k kwa gunia, ila wazee wamefika 255k amegoma na hataki maelezo, mzee anagunia zake 40 za 80kg kila moja.

Jamaa mmoja amejenga ghala la kuhifadhi ufuta asee, hakuna ujinga kama Bachelor degree kwa kweli, ndani ya wiki moja tu pesa anayotengeneza anajua Mungu tu

Ghala halikai na mzigo, ni lulu jamaa..zao hili

Nawasilisha tu kwa wakuu humu, mwenye masikio na asikie.
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,528
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,528 2,000
Ufuta umeufanya my bro family iachane na maisha ya Dar na kutumia muda wao mwingi kijijini! My sister, ambae maisha yake yote yupo town, analazimika kubaki Dar kwa sababu tu na mwanae wa mwisho bado yupo Form IV vinginevyo angekuwa kesharudi kijijini! Kuna ndugu yangu mmoja, ah Mungu Mkubwa kwa kweli! Alikuwa na maisha dhalili hadi ilikuwa inatia uchungu! Siku hizi sasa, akipiga simu (zamani ilikuwa lazima nipige mimi), utamsikia, "Kaka njoo utusaidie kuvuna ufuta bhana!" Ananitega huyu binti, yaani Ibilis wa kukupa totoz ana afadhali!

To be honest, kwa vijana wasio na issue za kueleweka town ni kupoteza muda tu kuendelea kung'ang'ania kuwa dar! Ni vile tu maisha yangu yanategemea Internet kwa 100% na kwa bahati mbaya, ingawaje Bush kwetu huduma karibu zote zipo including umeme, lakini Internet imekuwa ni bonge la changamoto! Vinginevyo, lazima ningekuwa na makazi ya muda bush kwetu na kwa sasa nimeshaanza kutafuta kiwanja cha kujenga!!
 
Lets Share

Lets Share

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Messages
274
Points
250
Lets Share

Lets Share

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2019
274 250

Kijiji gani mkuu?
Mikoa gani hili zao linakubali?
 
Lets Share

Lets Share

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Messages
274
Points
250
Lets Share

Lets Share

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2019
274 250
Nadhani mikoa ya asili kwa hili zao ni Kusini, Lindi na Mtwara lakini nadhani siku hizi hadi mikoa mingine wameanza kulima ufuta kama walivyoanza kulima korosho!
🤝🤝🤝🤝
Vip una idea na mkoa wa Mbeya kujihusisha na hili zao?
 
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
391
Points
500
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
391 500
Ufuta ni zao ambalo ambalo ukiamua kulilima halikuachi vibaya , maana utakuwa zaidi ya wauza unga hiyo fedha utakayoipata baada ya mavuno.
Jambo la muhimu upate ardhi sahihi au uiandae ardhi kwaajili ya kilimo hicho vizuri.
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
2,617
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
2,617 2,000
Ufuta umeufanya my bro family iachane na maisha ya Dar na kutumia muda wao mwingi kijijini! My sister, ambae maisha yake yote yupo town, analazimika kubaki Dar kwa sababu tu na mwanae wa mwisho bado yupo Form IV vinginevyo angekuwa kesharudi kijijini! Kuna ndugu yangu mmoja, ah Mungu Mkubwa kwa kweli! Alikuwa na maisha dhalili hadi ilikuwa inatia uchungu! Siku hizi sasa, akipiga simu (zamani ilikuwa lazima nipige mimi), utamsikia, "Kaka njoo utusaidie kuvuna ufuta bhana!" Ananitega huyu binti, yaani Ibilis wa kukupa totoz ana afadhali!

To be honest, kwa vijana wasio na issue za kueleweka town ni kupoteza muda tu kuendelea kung'ang'ania kuwa dar! Ni vile tu maisha yangu yanategemea Internet kwa 100% na kwa bahati mbaya, ingawaje Bush kwetu huduma karibu zote zipo including umeme, lakini Internet imekuwa ni bonge la changamoto! Vinginevyo, lazima ningekuwa na makazi ya muda bush kwetu na kwa sasa nimeshaanza kutafuta kiwanja cha kujenga!!
Kijijini kwenu ni wapi kuna fursa zipi na zipi?
 
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
10,340
Points
2,000
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
10,340 2,000
Ufuta ni zao ambalo ambalo ukiamua kulilima halikuachi vibaya , maana utakuwa zaidi ya wauza unga hiyo fedha utakayoipata baada ya mavuno.
Jambo la muhimu upate ardhi sahihi au uiandae ardhi kwaajili ya kilimo hicho vizuri.
Hilo zao lisikie hivyo hivyo Kuna watu wanajinyonga huko ni hatari unaweza lima ekari nane na ukapata ufuta kg 2
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,528
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,528 2,000
🤝🤝🤝🤝
Vip una idea na mkoa wa Mbeya kujihusisha na hili zao?
Kwa Mbeya sina uhakika kwa kweli, lakini kwa kuangalia hali tofauti ay Mbeya na mikoa ya Kusini, basi hata kama na kwenyewe wanalima sidhani kama itakuwa ni kwa mafanikio makubwa kama ilivyo kwa mikoa ya kusini!
 
Forum statistics

Threads 1,313,754
Members 504,645
Posts 31,804,039
Top