Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana nimefanikiwa kupata mtaji wa 5mls nilikuwa naomba ushauri/ideas za biashara/kitu kitakachonifanya nikue kiuchumi ambacho nitaweza kufanya kwa budget hiyo...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wapambanaji wenzangu! Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
4 Reactions
63 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua. Anajiona yeye ni mungumtu. Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
4 Reactions
26 Replies
10K Views
Wewe kama una laki tano au milioni, na ukiona maisha ya mjini hayaeleweki, nenda shamba. Huko jifanye huna kitu. Watu wana mashamba huko hayapotei, unaweza kupewa hata bure ulisafishe na ulime...
12 Reactions
22 Replies
1K Views
Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Naomba wajuzi wa machimbo ya playstation 3 mm nipo mkoani katavi naogopa matapeli
0 Reactions
10 Replies
946 Views
Wakubwa naomba kupata ushauri kati ya kununua pikipiki ya kufanyia boda na kufungua duka la viatu vya kiume kwa ukanda wa dar kipi bora zaidi
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Wadau naombeni maarifa. Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo? Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
5 Reactions
83 Replies
8K Views
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA. Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari Wana jf. Naomba kueleweshwa kuhusu makadirio ya Kodi. Nimeanza biashara ya vipuri vya pkpk takribani mwaka mmoja sasa. Mara ya kwanza kwenda t.r.a nilikadiliwa 89000 na mwaka huu nimerudi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE. Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers. Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi...
0 Reactions
5 Replies
876 Views
Habari wa JF, Samahani nina swali kuhusu upatikanaji wa leseni ya biashara .Iwapo nina TIN number. Je, ni documents gani natakiwa kuwa nazo ili kukamikisha upatikanaji wa leseni na pia muongozo...
8 Reactions
29 Replies
5K Views
The Tanzania that i want in the next 25 years on my views openly, i want a Tanzania with less unemployment problem or decreased number of unemployed civilians of Tanzania in our country...
2 Reactions
3 Replies
875 Views
BUSINESS PLAN 01: FISH FARMING note source ni nyingi 👨‍⚕️. Kuanzisha biashara ya ufugaji samaki nchini Tanzania inaweza kuwa mradi wenye faida kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya samaki kama...
3 Reactions
0 Replies
973 Views
Nauza maharage ya njano kutoka Arusha Kwa bei ya jumla 2800,Nb: Delivery ipo
0 Reactions
0 Replies
765 Views
He also shared a speech below from President Museveni in order to substantiate his assertions
0 Reactions
4 Replies
591 Views
Back
Top Bottom