Kuna kijana amemaliza kidato cha nne hana familia inayomtegemea kwa sasa, amepata sehemu milioni 2 anataka kufanya biashara.
Zipi Kati hizi biashara zinaweza kumtoa kwa kipindi hiki.
1. Kilimo...
Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri.
Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi...
Habari zenu wakubwa!!
POLENI na HONGERENI kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Nina mpango wa kufungua MGAHAWA wa chakula hivi karibuni hapa mtaani kwangu.
Kutokana na kuwa na inshu nyingine...
Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa..
Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza...
WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye...
Habari Wakuu,
Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha.
Bila kupoteza...
Yes.
Kuna kitu kinaniambia hela ipo nje nje chini huko.kimsingi uwe tu namtaji wako hata wa kukodi fremu kubwa nje mji kidogo au hata ndani ya maeneo yenye watu wengi
Alafu kuwa muaminifu kwa...
Habari zenu wanajamii forum. Huku niliko, mimi ni mzima wa afya, na natumaini huko mlipo ni wazima pia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Leo, katika pita pita mtandaoni, nikakutana na post ya bwana...
Kutafuta fursa za kazi au maendeleo kwenye mazingira uliyopo inaweza kufuata hatua kadhaa za msingi:
1. Tambua Malengo yako: Elewa ni aina gani ya fursa au maendeleo unayotafuta. Je, ni...
Tanzania Is Surging The Tourism Industry With New Visa Free Entry Policy For 46 Countries Including Singapore, Romania and Zambia
Monday, July 15, 2024
Reading Time: 3 minutes
Tanzania...
Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini.
Hakikisha una bajeti ya pesa zako, Itakusaidia kujua kiasi gani kinaingia kutoka...
Kwenye Dunia hii ya mabeberu watu wanaoongoza kutengeneza hela ni wafanyabiashara, wakifuatiwa na watu wenye vipaji, kisha watu wenye taaluma zenye demand kubwa na kuendelea.
Huenda this fact...
Utangulizi
Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki).
Aina ya vyombo...
Waungwana habarini,
Kama kuna mtu amewahi/anafanya kazi katika kampuni za kuagiza magari kutoka nje.
Mwenye uzoefu na hayo maswala kwa kifupi.
Naomba tuwasiliane
Normal/Whatsapp 0757520276...
Kwa kipindi hiki ambacho ajira zimekua chache sana wa watu ni wengi sana,unaweza kutoka kwenye wimbi hilo la kukaa bila ajira wala kazi ya kufanya.
KAZI ZIFUATAZO UNAWEZA KUFANYA KWA MTAJI MDOGO...
UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE
Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye...
Hello JamiiForums,
Mimi ni binti yenu, mdogo wenu, rafiki yenu na Mtanzania mwenzenu. Nina miaka 24, mimi nimekuja kwenu nahitaji msaada wa mawazo yenu. Naishi Mwanza napendelea sana kujitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.